Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anawapa makavu japo inauma, mwaswast na Tony254 ni watz waliozaliwa Kenya kwa bahati mby [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hainiumi manake hata ukilialia vipi jf hakubadiliki jitu, bado watu ni wale wale..

Waache waendelee kuchagua watu wa kabila lao ndio waone km ufisadi utakwisha au bado utaendelea.

Hta ukilia jf hakutobadili chochote, aanze kw familia yake kwanza kuwatoa kasumba ya mtu wetu km ninavyofanya mm ila bado napigwa vita sana na wanafamilia ila bado nawapa makavu
 
Hehehehee mshaanza kumwagiana mapovu hadharani, iliandikwa kila goti litapigwa na lazima mtii kudadadeki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…