Seychelles bado ni country. By the way hata SA wana higher electrification rate kushinda TZ. So pengine nyinyi ni namba 1 hapa Afrika kwenye ndoto zenu.We nawe wacha aibu ndogo ndogo, ss seychelles si ni mkoa tu huwezi linganisha na giant Tz.
Nyie watu wa Arusha mnapenda Kenya. Na sisi tunawapenda. Najua mtazidi kututegemea kwa mambo mengi tu.Uwanja wa ndege wenye runway kubwa + cargo terminal kubwa pamoja na pasenger terminal ya kuhandle 5M+ Arusha ili kuhakikisha hakuna mfanyaiashara yeyote anaeweza kufikiria kuhusu jkia hiyo kanda
Bila kusahau flyovers 2+ na mijengo kama 2+ yenye 30+ floors Arusha.
Mwisho kabisa ni SGR kutoka Dodoma hadi Arusha bidhaa zishuke bei na kuteka soko maeneo ya mpakani.
Haya yakifanyika kikamilifu basi tutateka uchumi wa EA kirahisi na league ya nairobi itaishia Arusha huku DSM na DOM zikipambana na tokyo, new york, n.k
Bidhaa zinashuka vp bei kwa kujenga SGR Dodoma-Arusha na si Tanga-Arusha-Musoma? Wakati cities hizi mbili si wazalishaji wakubwa? Na unawezaje kutaka serikali ijenge towers za ghorofa 30 na si watu binafsi? BTW uwanja wa KIA haujawa exhausted yet unataka uwanja wa 5mln PAX! Seriously?Uwanja wa ndege wenye runway kubwa + cargo terminal kubwa pamoja na pasenger terminal ya kuhandle 5M+ Arusha ili kuhakikisha hakuna mfanyaiashara yeyote anaeweza kufikiria kuhusu jkia hiyo kanda
Bila kusahau flyovers 2+ na mijengo kama 2+ yenye 30+ floors Arusha.
Mwisho kabisa ni SGR kutoka Dodoma hadi Arusha bidhaa zishuke bei na kuteka soko maeneo ya mpakani.
Haya yakifanyika kikamilifu basi tutateka uchumi wa EA kirahisi na league ya nairobi itaishia Arusha huku DSM na DOM zikipambana na tokyo, new york, n.k
We mgeni humu?Dodoma ni village tu mliobandika Jina capital city. Angalia a real city ya Kenya, Kisumu ๐๐
View attachment 1649155View attachment 1649156View attachment 1649158View attachment 1649159View attachment 1649161View attachment 1649163View attachment 1649164View attachment 1649173View attachment 1649175View attachment 1649176View attachment 1649177View attachment 1649179View attachment 1649189View attachment 1649193
Ulisikia wapi dar kuna mtu hana electricity??Huna electricity kwako?[emoji23]
Hili daraja soon utaacha kuliongelea kwa kubeza kama ulivyoacha kuongelea upupu daraja la baharini kule coco beach,magu akiongea uwa anamaanisha sio porojo kama huyo mlevi wenu
Mchina at its best mahala penye ulaji!
hiyo slum ya kasabuni inakaaje? watu wanaogea jivu nini?Wakunya mlioko slums za;
Kayole-masimba
Kawangware 46
Kibera mwisho wa reli
Kariobangi githembe
Mukuru kwa Ruben
Mukuru kwa Jenga
Ziwani kwa kim
Shauri moyo ali malengo shop
Majengo Kashmir
Mathare desert
Dandora phace 1,2,3,4,5 mwisho
Korogocho Balkans, na Grogon
Kiamaiko
Ngomongo
Kariadudu
Kasabuni
Kama sijataja ghetto lako piga kelele
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Nikikwambia mkuu nilikuwa nafanya na shirika moja la urban slum dwellers tulikua tukiwapima vvu na kusikiza Kero zao na kuwapa misaada mingine kiukwel Hali za majirani zetu wanaokaa mitaa hiyo ni ngumu sana changamoto zao si haba unaweza ukalia kama moyo wako mdogo ๐๐๐๐hiyo slum ya kasabuni inakaaje? watu wanaogea jivu nini?
Polepole wataelewa mchezo big up my mother land๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Damn
Seychelles populatio hata 100k haijafika.Seychelles bado ni country. By the way hata SA wana higher electrification rate kushinda TZ. So pengine nyinyi ni namba 1 hapa Afrika kwenye ndoto zenu.
Na hapo ume orodhesha baadhi tu sidhani hata kama nusu umefika [emoji23][emoji23][emoji23]Wakunya mlioko slums za;
Kayole-masimba
Kawangware 46
Kibera mwisho wa reli
Kariobangi githembe
Mukuru kwa Ruben
Mukuru kwa Jenga
Ziwani kwa kim
Shauri moyo ali malengo shop
Majengo Kashmir
Mathare desert
Dandora phace 1,2,3,4,5 mwisho
Korogocho Balkans, na Grogon
Kiamaiko
Ngomongo
Kariadudu
Kasabuni
Kama sijataja ghetto lako piga kelele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamepata mama ngina juzi wanaanza kelele wakat mwanza zipo kma hzo 20 na zina zaidi ya miaka 10๐ ๐ ๐ ๐ ๐Then kuna wanaoifananisha Mwanza na kile kiplot cha backyard ๐ ๐
Kweli mkuu slums Nairobi huwezi ukamaliza Bora kwetu uswahilini changamoto zetu tofauti na za hawa jamaa mboga za majani kuanzia matembele,Chinese,bamia,nyanya chungu etc ziko affordable nivigumu kumkuta mbongo amelala njaa au Kala mlo mmoja japokua wapo wanaolala njaa lakini sio kwa style ya majirani zetuNa hapo ume orodhesha baadhi tu sidhani hata kama nusu umefika [emoji23][emoji23][emoji23]