Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio tatizo la uchumi wa Kenya, yaani uchumi wenu haujibu wala kutatua matatizo ya msingi ya wakenya wa hali ya chini, serikali ya Kenya inapelekeshwa sana na"Private sectot", yaani uchumi wa Kenya unajali na kutatua matatizo yanayoisumbua private sector zaidi kuliko watu wa hali ya chini.

Kenya inachukua mikopo mikubwa sana kujenga reli na bandari kuliko inayojenga mifumo ya umwagiliaji au barabara za vijijini, Kenya inajenga viwanja vingi vya ndege mikoani kuliko inavyojenga masoko ili wananchi wa kawaida kuinua vipato vyao.

Kenya you produce what you don't consume, and consume what you don't produce, this is referred as Economic disarray.
 
Hayo ndio maeneo ya upper middle class. Lakini kama huyafahamu basi kuna maeneo mengi tu ambayo yanaweza kuwa classified kama upper middle class na pia kuna lower middle class.

Nairobi hakuna upper na lower middle class, bali kuna upper class ndogo, middle class kidogo na lower class kubwa, hiyo classification ya upper na lower middle class haipo Nairobi, ...
 
Nairobi hakuna upper na lower middle class, bali kuna upper class ndogo, middle class kidogo na lower class kubwa, hiyo classification ya upper na lower middle class haipo Nairobi, ...
Tuletee hyo upper kubwa na lower middle class kubwa dar na lower class ndogo dar[emoji848]
 
Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.

Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .

ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone

watanzania, huyu jamaa ni wa humuhumu [emoji23][emoji23] kajiunga tar 7 mwezi wa 12.. na replies zake zote ziko kwenye hii thread [emoji23][emoji23].. asiwababaishe!
 
Vipi Tanzania kuipita Kenya, South Africa na Nigeria katika Economic growth rate?, lakini uchumi wake bado ni mdogo?
Growth rate ni ukuaji wa uchumi wenu na nakumbuka vizuri lecturer akituelezea vizuri maana ya economic growth rate akitumia mfano huu. Wewe unaweka Tsh 10,000 kwa savings account ya benki na benki inakuambia kuwa itakulipa 10% interest kila mwaka. Halafu jirani yako anaweka Tsh 100,000 kwa benki hio hio na anaambiwa kuwa yeye atakuwa akilipwa interest ya 5% kila mwaka. Sasa mwishoni mwa mwaka unadhani ni nani atalipwa pesa nyingi na benki hio? Wewe au jirani yako?
Wewe: 10,000×0.1 = 1,000
Jirani: 100,000×0.05 = 5,000.
Jirani yako atalipwa interest kubwa kukushinda japo wewe ulipewa interest rate ya juu kumshinda. Kama bado hujaelewa then siwezi kukusaidia zaidi ya hapo.
 
Emu yenu huaga inakifanyaje chakuka chake[emoji848]
Mlipewa lini bure?
chakula serikali hununua na kuhifadhi ghala la chakula taifa.
kusubiri kama kutatokea uhaba wa chakula sehemu,lakini pia chakula hicho cha akiba hutumika kuregurate bei ya vyakula sokoni.

sasa haiwezi tokea eti watu wa mbea wanakufa na njaa,halafu serikali imefungia chakula,hilo haliwezekani.
 
Barabara za vijijini sai wanafanya ma gavana, uhuru haimuhusu hyo
 
Na hayo mazao ya biashara anayotamba kuwa wanazalisha aombe Mungu tusiyazuie kwenda kupigwa chapa kenya. Chai sio yote wanayouza inatoka kenya vilevile parachichi, maua na kahawa
 
Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.

Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .

ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone
zipo ila hazichukue maeneo yote.

huku sisi tuna utaratibu haturuhusu kurekodi kila kitu,mpaka kwa vibali maalum.

ndio sababu huwezi iona video ikochukua eneo kubwa sana.
 
Unaongelea vijiji gani hvo, au unamaanisha yale maeneo kame ya wafugaji ambao hata ukulima hawajui ni nn
Kama ni wafugaji lazima wajengewe mabwawa kwa ajili ya mifugo yao, wafugaji huku Tanzania wanalima na kuzalisha chakula chao na mifugo yao, kumbuka hata wafugaji hutumia mahindi kama chakula chao na mifugo yao.

Iwe ni wakulima au wafugaji, wote wanahitaji serikali kuwekeza miundombinu ili mazao au mifugo yao isisumbuliwe na ukame.
 
Kagera mkulu kapeleka nini
 
zipo ila hazichukue maeneo yote.

huku sisi tuna utaratibu haturuhusu kurekodi kila kitu,mpaka kwa vibali maalum.

ndio sababu huwezi iona video ikochukua eneo kubwa sana.
Kwn kenya ndio hakuna ishu na vibali maalum
 
Ushawai waskia wamsai wakihangaishwa na njaa kenya wakati wa ukame na wao pia ni wafungaji, mbona wao tu waturkana
 
Kwn kenya ndio hakuna ishu na vibali maalum
mbona hamleti za ikulu yenu hapa!!!

huku hata nyumba ya mtu hurekodi bila ridhaa yake,sasa nashangaa kwenu,drone inapita lunda inarekodi mpaka parking na hakuna tatizo[emoji1][emoji1].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…