The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Tuko mbele ya Kenya mda mrefu, facts [emoji116][emoji116]Bro endelea kuota kwamba nyinyi mtakuja kupita Kenya.
Hebu weka iyo sehemu inayoelea tuione, mana asbh hii nataka nikamate mtu [emoji3][emoji3]Section ya Likoni bridge (150 metres)inealea kwa kutumia pontoons. Na hii section haielei tu bali inajifungua na kujifungua kwa kutumia motor. Sasa nionyeshe bridge kama hio Tanzania.
Baada ya kujisifia ujinga facts zinabakia pale pale kuwa Tanzania ina watu wengi wanaoishi chini ya poverty line kushinda Kenya. Hii ni kwa hisani ya World bank. Both in percentage terms and in absolute terms.Yani Kenya wengi wanaishi chini ya Dola moja, Nairobi nyumba gharama ziko juu,chakula kizuri kwao lazima ugaramikie au sivyo utakula vitu vya ajabu uarishe kutwa nzima,kingine jamaa hawazingatii usafi unaweza uka kuta mgahawa pembeni maji taka yanapita,kwa kweli tumshukuru mungu kwa Tanzania yetu hata kama kuna umaskini sio umaskini wa njaa na style hiyo😏
Kweli we Una habari na unacho kizungumzia hivi unajua Tanzania ndio nchi inayo ongoza kwa uzalishaji wa chakula East Africa? Ki ufupi kadri mnavo Jenga magorofa Sisi tunaendelea na kilimo na miradi mingine muhimu sasa tusubiri kama mtakula matofali😏Kila unapozidi kupanda nayo mambo hubadilika, toka jozi nenda cairo alafu uingie europe na marekani alafu urudi na ngano zako za rahisi..
Ukitaka rahisi ni basi ukatulia kweli hko au uende kw majirani zako akina congo na uganda ndio utapata vyakula vya ubwete
Endelea kujipa moyo babaa ufurahishe nafsi yako 😏Baada ya kujisifia ujinga facts zinabakia pale pale kuwa Tanzania ina watu wengi wanaoishi chini ya poverty line kushinda Kenya. Hii ni kwa hisani ya World bank.
Hakuna economic indicator hata moja uliyotaja zaidi ya utopolo uliyotaja.Tuko mbele ya Kenya mda mrefu, facts [emoji116][emoji116]
Tunajitosheleza kwa chakula
Tuna matajiri wengi (Uganda+Kenya+Rwanda+Burundi) na bado hamtufikii
Uchumi wetu ni more inclusive in EA
Tunajenga baadhi ya miradi kwa pesa ya ndani
Hatuna slums
Tunajenga miradi ya kisasa zaidi kuliko nchi yoyote EA, n.k.
Morning shot, The giant itself JNIA[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1648541View attachment 1648542View attachment 1648543View attachment 1648544View attachment 1648545View attachment 1648546
Mimi sio wa kukamatwa. Hakuna mahali nimesema kuwa daraja imekamilika. Daraja itakamilika mwisho wa mwezi huu. January ifikapo basi utaona hio section inayoelea. The first modern floating bridge in Africa. Na sio floating tu bali inajifunga na kujifungua. Mapicha zitakuja kuanzia mwakani. Mimi huwa sins haja ya kudanganya kwa hivyo sijui utanikamatia nini? Utatafuta ukose cha kunikamatia.Hebu weka iyo sehemu inayoelea tuione, mana asbh hii nataka nikamate mtu [emoji3][emoji3]
Si ni ww ulisema brt itakuwa elevated au co ww [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi sio wa kukamatwa. Hakuna mahali nimesema kuwa daraja imekamilika. Daraja itakamilika mwisho wa mwezi huu. January ifikapo basi utaona hio section inayoelea. The first modern floating bridge in Africa. Na sio floating tu bali inajifunga na kujifungua. Mapicha zitakuja kuanzia mwakani. Mimi huwa sins haja ya kudanganya kwa hivyo sijui utanikamatia nini? Utatafuta ukose cha kunikamatia.
Uganda wanakuja kwenu lakini nyie malazy hata hamuwezi kuenda kwao? Hii ni aibu kubwa sana. Ndege huwa mnanunua ya nini? Au mnanunua kwa maonyesho ya urembo tu?
Hatari sana kaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Utajua ujui, baki na economic indicator huku watanzania tunakula matunda ya nchi yetu ya ahadi, cc tunapenda mambo kwa ground and not on paper.Hakuna economic indicator hata moja uliyotaja zaidi ya utopolo uliyotaja.
Wao na nyie kuja kwetu ni economically viable ila sisi kuja kwenu haina faida.Uganda wanakuja kwenu lakini nyie malazy hata hamuwezi kuenda kwao? Hii ni aibu kubwa sana. Ndege huwa mnanunua ya nini? Au mnanunua kwa maonyesho ya urembo tu?
Hata wewe kwenye hii comment yako umekubali kuwa Kenya kumejengwa kushinda Tanzania. Angalau wewe umefika Kenya umejionea kwa macho yako. Tatizo ni kuwa Malazy wengi hawajawahi kufika Kenya ndio maana hawaelewi kuwa Kenya ipo ligi nyingine tofauti. Waeleze ndugu zako akina The best 007 ili waelewe.Kweli we Una habari na unacho kizungumzia hivi unajua Tanzania ndio nchi inayo ongoza kwa uzalishaji wa chakula East Africa? Ki ufupi kadri mnavo Jenga magorofa Sisi tunaendelea na kilimo na miradi mingine muhimu sasa tusubiri kama mtakula matofali😏
Hayo sio maoni yangu bali ni data kutoka world bank. Nyie mna masikini wengi kutushinda mpende msipende.Endelea kujipa moyo babaa ufurahishe nafsi yako 😏
Kwa slums ni kweli mpo mbele yetu na co mbele yetu tu bali dunia nzima mnaongoza[emoji3][emoji3][emoji3]Hata wewe kwenye hii comment yako umekubali kuwa Kenya kumejengwa kushinda Tanzania. Angalau wewe umefika Kenya umejionea kwa macho yako. Tatizo ni kuwa Malazy wengi hawajawahi kufika Kenya ndio maana hawaelewi kuwa Kenya ipo ligi nyingine tofauti. Waeleze ndugu zako akina The best 007 ili waelewe.