hawawezi jua hizo teknolojView attachment 1647282
Hii ndo floating bridge.
Kenyata anawadanganya wakenya!
Yani hata maana ya floating hujui,,
Sasa kama ni ivo basi hata daraja la kogamboni liwe floating bridge.
View attachment 1647283View attachment 1647284View attachment 1647285
Sio hili nguzo zimezama chini mnaita floating bridge acheni banaView attachment 1647286
Safi sana mkuu umewatoa ujinga, hawakuwa wanajua.View attachment 1647282
Hii ndo floating bridge.
Kenyata anawadanganya wakenya!
Yani hata maana ya floating hujui,,
Sasa kama ni ivo basi hata daraja la kogamboni liwe floating bridge.
View attachment 1647283View attachment 1647284View attachment 1647285
Sio hili nguzo zimezama chini mnaita floating bridge acheni banaView attachment 1647286
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mlifanya hadi akaususa uzi wake [emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu hata ulichokiandika huyo kunguru haelewi hana maarifa hayoi
SO hizo picha ndizo unataka tuamini kwamba jeshi la Kenya ni bora zaidi kuliko jeshi letu? Ebu punguza ujinga basi. Ubora wa jeshi ni complex phenomena.
babayao255 naomba uweke ile picha ya watchman please [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Katika watu ambao naona wanazeeka vibaya humu kwenye huu uzi ni wewe. Kadri siku zinavyokwenda ndivyo akili yako na comment zako zinazidi kuwa mlenda mlenda tu. Sijui ni hiyo kazi yako ya lindo inachosha sana akili ama vp? Umebaki ku-boast tu.
Engineer ichoboy[emoji23][emoji23]Hili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] basi mchina Mungu anamuona[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1647113
Wacha ujinga hilo sio floating bridge buda.Kwani zimeshilwa na nini ?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we unategemea uwekwe.....kweli akili ya matope ni matope tu....pambaneni na hali yenu si mpaka uwekwe....So unajua zaidi ya wale wenye waliwaweka fourth strongest army in East Africa after Ethiopia, Kenya and Uganda?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Tangu lini mtanzania akajua maana ya floating bridge?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Do you have one in your country?[emoji23][emoji23]Wacha ujinga hilo sio floating bridge buda.
haujui hata maana ya floating bridge mshazoea kumezeshwa mambo kitoto...Hii ndio floating bridge in tanzania[emoji23]
Ichoboy unajiabisha bure, hyo mada sasa ndio unazidi kuwa mjinga..So 450meter munajenga kwa 12 month[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wewe inakuingia akilini kweli hahahhahahahaha
so kenha waongo
View attachment 1647200View attachment 1647201View attachment 1647202View attachment 1647203
Sawa engineer wa floating bridgesWametumia 1.7b ksh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] ila mchina sijui kama mbinguni ataenda
View attachment 1647209
Sasa tatizo unabisha mpka unawehuka, kw proffeseion gani uliyonayo wewe ya madaraja mpka unaamua kuonekana chizi peupeMlevi anasema 12month sijawah kuona bridge inajengwa kwa 12months ikiwa ni 450meters [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We pia umeamua kuingiankatika kundi la kujitoa ufahamu km mwenzako jichoboyWe kweli kiande, ss 120 na 100 zimezidiana ngp mpk useme zitaingia ngp kwenye 120? Wakenya hamjui hesabu mmeng'ang'ana na masomo ya Arts tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Keshasema engineer The bestHv ni kweli hilo bridge la chuma limekula 1.7b ksh? Km ni kweli basi ndo mana laana haitoisha Kenya.
babayao255 naomba uweke ile picha ya watchman please [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa aliposikia risasi moja tu pale west gate alikimbia lindo na kazi akaacha hapo hapo hadi leo amekuwa muuza mirungi...View attachment 1647293
teargass[emoji1787]
Ni floating kama unavoona hata nguzo zinafloat...Kwani zimeshilwa na nini ?[emoji23][emoji23][emoji23]
You are confused, Si ulisema hazijashikwa na nguzo?[emoji23][emoji23][emoji23] Tena saa hii umebadilika kuwa nguzo zinafloat[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]Ni floating kama unavoona hata nguzo zinafloat...