The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Old model, that's why they are used to fall down every month [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1646517View attachment 1646518View attachment 1646519View attachment 1646520View attachment 1646521View attachment 1646522View attachment 1646523View attachment 1646524View attachment 1646525View attachment 1646526View attachment 1646527View attachment 1646528View attachment 1646529View attachment 1646530View attachment 1646531
Unajua hawa wakenya wanatuonesha tu picha za hizo lakini i bet hawajui ida zake na hakuna official content inayo onesha total number ya helicopter walizo nazo that means their country army is also secretive about their army gadgets.. wa flex tu na picha lakini ndo ime ishia apo. Ata hivyo zinaweza kuwa za mikopo coz mhen.. its KENYA π€£ nothing is really theirs example sgr
Hahahahaaa ndo kusema mmeamua kuiga Selander bridge?eti wazee wa render mnijibu basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama tutakavyo fanya Wonder na hii yenu itakuwa shadow likoni bridge ikianza late next yr
View attachment 1646532
Itanyamazisha wapi wkt hyo ni render ya Selander bridge mmeita Mombasa Gate mnaenda kuongopea wa Nigeria [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii itanyamazisha bongolala once and for good.
I mean it's Kenyans what did you expect?.. truth?πItanyamazisha wapi wkt hyo ni render ya Selander bridge mmeita Mombasa Gate mnaenda kuongopea wa Nigeria [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na tayari imechoka km ilijengwa 60s, nyie watu are not wise at all [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Hata heri ungenyamaza tu, hiyo barabara ilijengwa 2013[emoji1787][emoji1787]
Na kuonesha kwmb tunajiamini ile cku ambayo majeshi yetu yanaenda kule Msumbiji tulisema humu kwmb cku c nyingi hutosikia ***** ***** na kweli wanaume wameenda kule now kimyaaa.Limeweza kuwashinda magaidi huko Msumbiji ndani ya wiki mbili, magaidi waliosumbua majeshi ya Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu na kuteka eneo lenye ukubwa sawa na nchi ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtwara kulikuwa na nn hebu tuambie zen weka na ushahidi.The last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
I like how the Kenyan guy was mature. Hakubishana naye.
Unamuumiza sn cz unapiga panapouma [emoji3][emoji3][emoji3]Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko Haram
We fala nn hii ya police hii[emoji116][emoji116]Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Uimara na nguvu ya jeshi inakuwa determined na ushindi ambao jeshi husika inapata, haya tuambie vigezo gn vinafanya uiweke KDF apo? Je ni vita gn imewahi kushinda [emoji3][emoji3][emoji3]Maybe in another planet[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Here is the list of the strongest armies in East Africa
1. Ethiopia
2. Kenya
3. Uganda
4. Tanzania
Africaβs 2020 military power ranking (GFP)
Global Fire Power (GFP) has unveiled its 2020 Global Power index which ranks countries in the world based on their military forces. This yearβs ranking assessed 138 nations, including 24 from Africa. GFP based its rating on five criteria namely, the number of serving military members, the naval...www.ecofinagency.com
African Military Strength (2025)
Ranking the military powers of Africa by country, from strongest to weakest.www.globalfirepower.com
Hii ni more than selander bridge,,70m high,1.5km long and is a real suspension bridgeHahahahaaa ndo kusema mmeamua kuiga Selander bridge?eti wazee wa render mnijibu basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Iko wapi ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ni more than selander bridge,,70m high,1.5km long and is a real suspension bridge
Na wewe jitambue acha kubisha vitu kama mjinga ....uliona wapi chombo kilicho andikwa JWT alafu ikawa ya polisi?hata hayo mavazi huoni...Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mwimba huu,,vipi wapoko ππ₯π₯π₯Itanyamazisha wapi wkt hyo ni render ya Selander bridge mmeita Mombasa Gate mnaenda kuongopea wa Nigeria [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nafikiri ss mmeanza kuelewa kwmb Tz iko vzr ktk designing, hyo render ni copy and paste ya Selander bridge.
Tofauti kabisa,weka render ya selander hapa tuoneNafikiri ss mmeanza kuelewa kwmb Tz iko vzr ktk designing, hyo render ni copy and paste ya Selander bridge.
Jamaa huwa wanapenda kubisha vitu ambavyo viko wazi πππNa wewe jitambue acha kubisha vitu kama mjinga ....uliona wapi chombo kilicho andikwa JWT alafu ikawa ya polisi?hata hayo mavazi huoni...