Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari ndio hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1646049
Soma vizuri hiyo article,wamekuambia mgombea mwenza kupitia chama cha mapinduzi,na si makamu wa raisi,kiprotokali hapo hakuwa makamu(kiongozi wa serikali as you claimed),hapo alikuwa ni kiongozi wa chama cha mapinduzi..
 
Hahahaha analazimisha hali iliopo Kenya iwe Tanzania, hajui geographia ya Tanzania na yao ni tofauti sana.
Ni kweli bro arguments zingine ni Bora ukapotezea😃😃😃😃maaana majirani zetu wanapenda sifa Sana na vitu vyote vipo kwao tu 😂😂😂
 
Soma vizuri hiyo article,wamekuambia mgombea mwenza kupitia chama cha mapinduzi,na si makamu wa raisi,kiprotokali hapo hakuwa makamu(kiongozi wa serikali as you claimed),hapo alikuwa ni kiongozi wa chama cha mapinduzi..
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo achana nae ndio kilaza wa sayari hii aliebakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…