Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya tuoneshe sehemu munajenga BRT nairobi ili mm nifunge acc jamii forum sasa hvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunajenga BRT thika road, nangoja ufunge account sasa[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hawa watu wananiboo. Yaani wewe huwa unavumilia ujinga yao vipi? Kama mmoja wao anaargue bila facts kuwa hio picha sio ya BRT. Yaani kabisa anaargue against facts. Ningumu kuvumilia ujinga yenye iko huku.
Never be serious when arguing with them and also pretend to be stupid like them[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hawa watu wananiboo. Yaani wewe huwa unavumilia ujinga yao vipi? Kama mmoja wao anaargue bila facts kuwa hio picha sio ya BRT. Yaani kabisa anaargue against facts. Ningumu kuvumilia ujinga yenye iko huku.
Hutaki ukweli ndio shida yako kubwa 🀣🀣
 
Sasa uniblock kisa nakwambia ukweli ??🀣🀣🀣 we vp

BRT inajengwa hvi ww πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1645381
Hizo ni pillars zinataka kujengwa hapo. Hizo ni foundation tayari zimeshajengwa. Wewe una ringa kuwa una iphone latest basi mbona usizoom hio picha ili uweze kutazama jinsi hio foundation ilivyojengwa. BRT imeanza kujengwa hapa Kenya, lieni kabisa Watanzania. Lieni tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…