Sasa uniblock kisa nakwambia ukweli ??🤣🤣🤣 we vpIchoboy usifanye nikublock. Mimi sio wale Wakenya unachezanga nao. Kamuulize Natonjr. Alileta ujinga na akakula block.
Kuna ulazima wa mkenya kuijua siku ya Independence ya Tanzania? Mlihusika na nini kwenye Independence yetu? Funga kopo lako!Hata hakuna Mkenya anayejua kwamba leo ndio siku ya independence ya Tanzania. Nchi yenu sio maarufu hapa Afrika
Hizi ni nguzo za hiyo Nairobi Express highway kuelekea JKIA, habari ya ujenzi wa special lanes za BRT ilishashindikana NairobiHii ndio evidence kua munajenga BRT hvi ww BRT unaichukuliaje yani unalala unaamka imekua BRT au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1645380
So hile enye inajengwa Thika road ni ya Tanzania ama?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Mm huna cha kunidanganya hakuna BRT inajengwa hvo wala hata usijidanganye sisi tunauzooefu sasa tunajenga phase 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nafurahi kuona sindano imepenya kwenye tundu la nyuma.Kuna ulazima wa mkenya kuijua siku ya Independence ya Tanzania? Mlihusika na nini kwenye Independence yetu? Funga kopo lako!
Tuwekee ushahidi, Pesa kiasi gani, hiyo pesa inetolewa na nani, kampuni gani ndio linajenga hiyo BRT lanes?So hile enye inajengwa Thika road ni ya Tanzania ama?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Do you have another question?Ama unataka construction board pia?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]Tafadhali tuonyeshe "written evidence kwamba Kenya mnajenga BRT, wapi mumepata pesa za Kujenga BRT na kampuni gani linajenga[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣👇👇👇👇 hii ina miaka mitatu unakumbukumbu lakiniSo hile enye inajengwa Thika road ni ya Tanzania ama?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hizi ni nguzo za BRT na zinajengwa Thika road. Na kama uonavyo foundation bado inajengwa. Nairobi expressway inajengwa Mombasa road na nguzo zake tayari zimesimama na hata zinaonekana. Wabongo mjifunze kujikita kwenye facts badala ya kukurupuka ovyo ovyo.Hizi ni nguzo za hiyo Nairobi Express highway kuelekea JKIA, habari ya ujenzi wa special lanes za BRT ilishashindikana Nairobi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 enhhh MuNgu atupe umri mrefuHizi ni nguzo za BRT na zinajengwa Thika road. Na kama uonavyo foundation bado inajengwa. Nairobi expressway inajengwa Mombasa road na nguzo zake tayari zimesimama na hata zinaonekana. Wabongo mjifunze kujikita kwenye facts badala ya kukurupuka ovyo ovyo.
Tuwekee ushahidi, Pesa kiasi gani, hiyo pesa inetolewa na nani, kampuni gani ndio linajenga hiyo BRT lanes?
Ntakukumbusha usijali 🤣🤣🤣🤣🤣 nimeiweka akiba hioDo you have another question?Ama unataka construction board pia?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]
So BRT sio failed tena 🤣🤣🤣🤣🤣Class six dropout can't even do a proper research by his own, what kind of a warthog are you?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] hii ina miaka mitatu unakumbukumbu lakini View attachment 1645383
Haya tuoneshe sehemu munajenga BRT nairobi ili mm nifunge acc jamii forum sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣Do you have another question?Ama unataka construction board pia?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]
Kwani uwongo basi 🤣🤣🤣🤣 mbona unatala kulia sasaThe good part hiyo picha umekazana nayo ilishatolewa kitambo[emoji23][emoji23][emoji1787]
Hawa watu wananiboo. Yaani wewe huwa unavumilia ujinga yao vipi? Kama mmoja wao anaargue bila facts kuwa hio picha sio ya BRT. Yaani kabisa anaargue against facts. Ningumu kuvumilia ujinga yenye iko huku.Do you have another question?Ama unataka construction board pia?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]
Ushalose hopes za the only BRT in East Africa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. By April next year nitakuwa nakutag mara tano kwa siku[emoji1787][emoji1787][emoji23]Ntakukumbusha usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeiweka akiba hio
Thika road. Nenda skyscrapercity Kenya kisha uende kwenye uzi wa BRT utaona hivi vipicha huko.Haya tuoneshe sehemu munajenga BRT nairobi ili mm nifunge acc jamii forum sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣