Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mshikaji kanitumia hizi picha kuhusu mradi wa brt Nairobi,mnachotakiwa kujua nikuwa Tanzania hatuna roho mbaya kama nyinyi😂😂😂tunawapa hongera,na kila kheri kwenye mradi huu wenu
 

Attachments

  • Screenshot_20201209-083528_DuckDuckGo.jpg
    136.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_20201209-083554_DuckDuckGo.jpg
    109.2 KB · Views: 20
Kuna mshikaji kanitumia hizi picha kuhusu mradi wa brt Nairobi,mnachotakiwa kujua nikuwa Tanzania hatuna roho mbaya kama nyinyi😂😂😂tunawapa hongera,na kila kheri kwenye mradi huu wenu
Geza Ulole na The best 007 ndio hio BRT imeanza kujengwa. Soon pillars zitaanza kujengwa. Kama uonavyo foundation ya pillars zinajengwa
 
Miongoni mwa vilivyonileta hapa ni pisi kali, wewe upo kwenye scope ya interest zangu
Mkuu umepambana sn kuhusu uyu mtoto now ameanza kuelewa [emoji116][emoji116]
Shobo zitakuponza baba..
Njoo mombasa basi
Ila be care anaweza akawa old version huyu, mweusi kaa mpingo na aliyeparara, c unajuanga Wakeiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…