Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo mana walimu wa kenya sikuizi wamekosa sana soko bongo zamani walikua wanatudanganya sana sasa mwalimu aje anambie pronounciation ni moja dunia nzima si ntamuona chizi??
Maneno yakingereza yote yanatakiwa yatamkwe km inavyotakiwa jomba[emoji23][emoji23]
Ukienda nje ya hapo lugha itakua huijui au uvurugwe na lugha ya mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…