Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slum ni slum bro nitumie photo ka hii nikupee sh1 million sai
 


Kuna mall 2 za ongata rongai 'diaspora' haziko kwa list hahaha.
 
Sasa Neima anakuletea nini yeye ana pesa zake anatembea atakako buda sa unafura maini hapa bure
 
Tokea mwaka 2008 tumewachapa bakora mpaka leo hii.....😀😀😀😀😀
Na hio inahojengwa tanga itakua inazalisha 7 million tons per year pekeake wachana na dangote 3 to 6 million
Ka unaproject 9 m 2018....wachaga kutubeba tuma photos nmerequest kwanza cha maana hapa ni city battle
 
Na hapo katikati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



sehem nyngn u have to ask by the way..

just google suburbs za Dar halaf angalia mikocheni ni aina gani ya suburb na watu waishio hapo ni wa aina gani...

coz kwa hiyoo pic hapo chini ni some parts za mikocheni
 
sehem nyngn u have to ask by the way..

just google suburbs za Dar halaf angalia mikocheni ni aina gani ya suburb na watu waishio hapo ni wa aina gani...

coz kwa hiyoo pic hapo chini ni some parts za mikocheni
Tuma hizo mapicha juu suburbs nmeget google ni hizi
 


kuhusu malls tc true Nairobi mko far hilo sio la kuwabeza na kupinga..
kuna factors nyingi ambazo zimefanya muwe developed kwny malls

~high rate of pple ambao wako kwny apartments
ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao wanaishi kwny apartments ni kichocheo kimojawapo cha watu hao Ku shop kwny malls

na sio kwa small shops so sio kitu cha kushangaa kuona malls zote hizoo

ila as usual Dar follows kwa kila hatua ambayo mmepiga na mtakayopiga
we're here to follow development
 
i like your honesty.....
ILA KUNA MADUDUVULE MENGINE HAPA!!!! wacha tu.
 
Kadoda....but half of Tanzanians dont like him. Magufuli ako na traits za Moi though.....Moi hakuwa akipenda upuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…