Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesahau shisha na kuchora tattoos kwenye ngozi nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu katika mademu kumi Nairobi, 8 ni malele, huu ni utafiti nilioufanya mimi na huu utafiti ni ukweli mtupu.
Kweli kabisa Kaka! asilimia kubwa ya madem wa Kenya wanapenda kujiuza kwenye webcam na mitandao sijui umenielewa? Aaafu wadogo Sana ukienda mitaa ya rongai, ngong,zimerman,fedha, pipeline na mitaa kibao tabia zao zinafanana, tattoo,shisha,bangi ndo habari ya mujini aafu vinapenda kuongea kingereza Sana zikishapandaπŸ™„πŸ™„
 
Kwamba Kiswahili kilikua kinaitwa "Kingozi",[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mkenya mmoja toka Mombasa alikua anahojiwa katika TV, alisema asili ya "Mziki wa Bongo flava" ni Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] huyo naye kiboko
 
Hanang πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

is well planned than Mombasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Ataongea vyote kwa mkenya mwenzake ila punde tu akikutana na mbongo analainika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Singida πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

One of least developed of Tanzania

 
Kenya kukuwa juu yenu inawauma kweli! Mmekosa jibu nikutapatapa humu tu., let entertainment continue, povu ruksaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
LOL jana tumepanga tulete unpopular towns za Tanzania na Kenya, kwa mbwembwe ukakubali the deal, vipi mbona umekimbia tena? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mziki wa Tanzania hauuwezi bro, Tanzania ipo developed kila kona ya nchi ndio maana Africa ni Tanzania inaongoza kwa inclusive economy and urbanization

Tofauti na Kenya ambapo ukiondoa lower Kenya huko kwengine hata serikali haiexist πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo ni picha za juu, ingia mtaani sasa, Vumbi tupu na majengo ya tangia kipindi cha ukoloni.
Hahahaha kwa hiyo saivi hamtaki tena aerials? Sababu mlisema Tanzania ni slums ndio maana hatuwezi kuweka aerials πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
nmefatilia too much hii battle. wakenya wanadharau, wanaishi kwa nadharia tuu alafu wanaabudu sana watu weupe sjui kwanini. ukienda sasaiv kipindi cha covid-19 usipovaa barakoa nairobi unakamatwa mtu aje abishe kama sio ulimbukeni ni nini
Jamaa wanavaa barakoa sababu ya polisi,kitu kilinishangaza Sana yaani wakenya ukisalamia mpaka mtu akuangalie usoni ndo aitikie salaam yaani kiukwel dharau na kibri.πŸ™„
 
Wenzio wanatafuta mume ww unasema prqnk huoni kasema no jokes. Msaidieni mwenzenu maana hqli ngumu.
Anajikosha tu, ila hata wakenya wenyewe wanachukizwa sana na tabia hizi za dada zao kujirahisisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…