Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati tanga na bukoba pia ni city hzo ni shopping center
Low standards kama za UgandaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Uganda has ten cities outside Kampala., in Tz Mwanza is a serious cityπŸ˜‚πŸ˜‚ umeona infrastructure in that laleside town? Kisumu sio mwenzake., Thika has by far posh residentials than MwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚ and taller buildings than MwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚ I like Tanzanians, wanajikaza sana kwa kutetea nchi (Blind patriotism) just to feel good. Ukweli uko wazi tuπŸ˜‚
 
Yah Lindi nimefika mpk kule kijijini kabisa Liwale, unakuta kuna nyumba mpk za udongo lkn ziko well planned mpk raha aisee.
 

Umeuaaa [emoji1417][emoji23]
 
Huwa nashangaa kama nakuru ilinyimwa city status unapata Tanzania inasema tanga ni city ,yosef festo unajua tanga kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ama huwa unasikia tanga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kenya inacity tatu pekee na hyo ya tatu kisumu juzi nilishangaa kuona kwa government documents inaitwa kisumu town meaning it's a city for political reasons only it doesn't qualify infrastructure wise to be a city in Kenya lkni ingekuwa Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnajikaza kweli, eti sasa mmefika, I cana see also hehehe., any coastal town has resorts and beaches, hakuna jipya hapo, ama nyie ni wale fukara wa Dar mnoenea kwa google? hehehe, mtandao unaendelea kuwaumbua kila kitu, kutoka kwa fikra zenu hadi kwa mazingira pia..,
 
Si umeona Mombasa ni level ya Dar, only small differences, but walking on the same lane, haya miji yetu yangekua Tz hapa hatungekaa! kelele yenye ingekua humu sijui tungejificha wapi 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 wa melishwa propaganda na wamejawa na wivu, ata kama kuna kizuri Kenya, mitanzania cant appreciate, lazima wengi wao wajaribu kujikweza and yet tofauti is too obvious!! wamebaki ku cherry pick vipicha hapa na pale kujifariji tu.,🀣🀣
 
Tukiamua kuweka battle Tanzania itoe miji yake maarufu na nyie mtoe miji yenu maarufu, tuanze battle ya unpopular towns on both sides, mtakosa counties za kupost humu mbakie na vichaka na majangwa yenu.

Actually ukiondoa central Kenya, Kenya yote ni takataka, 90% of your country is ugliest desert and undeveloped landmass
 
Kuja uchukue omba omba kaka, warudishe kwa nchi iliyo "barikiwa" 🀣 🀣🀣 mnanimaliza sana, Tz Tz Tz, pia kuna watu wanafanya kazi na biashara Somalia pia, so wasomali pia watadhani nchi yao iko juu., napenda hizi fikra, hazina uwezo wa kupita pua..,🀣🀣
 
I dare u kaka., drone video clips, kama uko na balls, anza kumwaga your shopping centers.., am waiting with unlimited "bandos".., tuende kazi bro.., lazima niue propaganda🀣🀣🀣
 
FYI miji yenu maarufu ni moja tu, Dar, na kidogo tunaeza ongeza Mwanza., so we delete two from Tz and five from Kenya., let's roll...,
 
I dare u kaka., drone video clips, kama uko na balls, anza kumwaga your shopping centers.., am waiting with unlimited "bandos".., tuende kazi bro.., lazima niue propaganda🀣🀣🀣
FYI miji yenu maarufu ni moja tu, Dar, na kidogo tunaeza ongeza Mwanza., so we delete two from Tz and five from Kenya., let's roll...,
Nimezama Google kupata fairly competition nitafute the poorest counties in Kenya then poorest regions in Tanzania ili tufanye kuleta the best of them, check kitu nilichokutana nacho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



I gave up

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaita shopping centers Ati cities
Ingine ni Dodoma vumbi tu utafikiri uko garissa
 
Ya Tz Juakali style [emoji1787]no creativity,,cheki yetu venye tamu, under pass, Overpass, forked levelled roads,alot of creativity indeed [emoji122][emoji122][emoji91][emoji7]
Hawakuwa na akili ya kufikiria vitu kama hizo[emoji23][emoji23][emoji23]. Hao wanapenda vitu normal za kupandana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…