🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni kusema pspf tower ina meter 200 kwasababu meter 50 zimefanyiwa creativity zikawekwa underground🤣🤣🤣🤣Ya Tz Juakali style 🤣no creativity,,cheki yetu venye tamu, under pass, Overpass, forked levelled roads,alot of creativity indeed 👏👏🔥😍
Leta hiyo orodha mpaka number 25....juzi kuna jamaa amepost Iringa na Mbeya. Vibanda ''aka'' dream houses Kila corner!!! I hope hizo mbili haziko top 25😀😀😀Mmepewa musoma town 25th tafuteni mji kenya out of top 5. Acheni maneno mengii..
Musoma sasa ni nn kusema ukweli unaumwa amaMmepewa musoma town 25th tafuteni mji kenya out of top 5. Acheni maneno mengii..
NDIO KIJIJI ya ujamaa beats almost all your capitalist town out of top 5.Hi si ni Kijiji tu zile za ujamaa🤣🤣
Ata upost one million times 🤣🤣🤣🤣 the fact remains Kenya tunayo noma sanaWe have the only three level interchange in EA, the only one in East Africa.
Mombasa inashinda Mogadishu kla kituUna
Unajua wakenya mnadharau sana ivi kila siku kuafanya as if miji ya mogadishu na uganda ni poor by far wakati tofauti ni kidogo na miji yenu mikubwa mnapata faida gan???
Let take example mombasa imeizidi nini mogadishu zaidi ya Amani tu??
View attachment 1643216View attachment 1643218
Iko na nini hii Kijiji cha kujivunia ispokuwa uswazi tupu na vumbi kila Kona🤣🤣NDIO KIJIJI ya ujamaa beats almost all your capitalist town out of top 5.
Hahahaha, Kenya hamuwezi pata hiyo kitu, mtaendelea kuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata upost one million times [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] the fact remains Kenya tunayo noma sana
We unajua gdp ya mbeya???Leta hiyo orodha mpaka number 25....juzi kuna jamaa amepost Iringa na Mbeya. Vibanda ''aka'' dream houses Kila corner!!! I hope hizo mbili haziko top 25😀😀😀
Najua GDP ya Tanzania na inatoshana na ya Nairobi...what else is there to know? nielimishe Kaka!!!We unajua gdp ya mbeya???
Unacombine miji 5 ya kenya ndo unapata mbeya moja, hata ivo mbeya ndo inawalisha maana half of chakula chote east africa kinatoka mbeya na iringa.
Iko na kila litu ambazo miji zenu hazinaIko na nini hii Kijiji cha kujivunia ispokuwa uswazi tupu na vumbi kila Kona🤣🤣
Sasa tuko kwa roads ama towers,,kuwa na msimamo wacha kukwepakwepa😄🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni kusema pspf tower ina meter 200 kwasababu meter 50 zimefanyiwa creativity zikawekwa underground🤣🤣🤣🤣
Gdp ya nairobi ni ya makatasi lskin mbeya ni city ambayo kila nchi duniani inadream kuwa na mji kama mbeya.Najua GDP ya Tanzania na inatoshana na ya Nairobi...what else is there to know? nielimishe Kaka!!!
Lol....tuma picha ya Mbeya tuoneGdp ya nairobi ni ya makatasi lskin mbeya ni city ambayo kila nchi duniani inadream kuwa na mji kama mbeya.
Kenya mkiwa na mbeya hamtakufa njaa..
So heshimu mbeya.
Soma uelewe! Three level from the ground unakuja kusema sijui pangani dust bridge ni three level uko ni kudhalilisha three level.Sasa tuko kwa roads ama towers,,kuwa na msimamo wacha kukwepakwepa😄
Mbeya inachapwa hadi na isioloWe unajua gdp ya mbeya???
Unacombine miji 5 ya kenya ndo unapata mbeya moja, hata ivo mbeya ndo inawalisha maana half of chakula chote east africa kinatoka mbeya na iringa.
Mbeya inachapwa hadi na isioloWe unajua gdp ya mbeya???
Unacombine miji 5 ya kenya ndo unapata mbeya moja, hata ivo mbeya ndo inawalisha maana half of chakula chote east africa kinatoka mbeya na iringa.
Umetamani kuuona hii city yenye maajabu ya kukulisha. Tafuta googleLol....tuma picha ya Mbeya tuone
Taja nione🤣Iko na kila litu ambazo miji zenu hazina