Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu kubwa bado ziko wazi 😂 😂 😂
Do you know something about planning and proper land use? Ama unataka Nairobi nyumba zirundikane kila sehemu bila mpangilio kama Dar?

90% of houses in these images below are apartment buildings

Iweje wato 250K waishi kwenye eneo la 2.5 sq mile huku sehemu kama hii ipo wazi?
 
Mbona hujataja barabara? The video was taken on a Sunday so kama unaexpect kuona magari on Sunday basi unataka maombi[emoji23][emoji23]. Streets za Mombasa are better than za Dar, Mombasa has better housing compared to Dar. Mombasa has much better port than Dar, Moi International airport and JNIA had almost the same number of PAX in 2019. Mombasa is well planned compared to Dar. The only thing Dar inalemea Mombasa ni tall buildings but outside that, Mombasa can go toe to toe with Dar.
Hahaha mombasa haina mishemishe?hamna majumba marefu?sioni magari barabarani,sioni kitu cha mombasa kinachoendana na Dar sijakiona
 
we ni kichaa shida ya maji ya cape unacompare na nairobi......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4] pole sana kwa ukichaa. ulionao...wakenya bhana huwa mnajilinganisha hadi na japan hata kimadenj........wewe ni fala sana
 
naunga mkono hoja
 
Haiwezi Dar hata ungeandika kwa kifaransa,ati unasema barabara?izo ni Barabara za kawaida sana bro kwa jiji hakuna maajabu...Njoo dar hapa hata jpl gari bado zipo nyingi huku ni mjini mzae wacha kusema habar za kusadikika hapa...ukitoka Bunju hadi posta mombasa imeisha na hyo ni side moja tu ya Dar

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kabisa......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]


 
Mtabaki kusifia ukubwa wa Dar pekee, outside the landmass and those tall buildings Dar has nothing over Mombasa. That's the truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…