Mkenya wa kwnz kuikataa denial style of living ila Kuna mtu kaumia kweli kweliFacts about TZ. This is news to me. Hongera majirani.more millionaires / more urbanized means watch out. Link Yale/colombia studies june 2020
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ARAF&usg=AOvVaw22V-KfM_Wf1u-RLlC8tSMK&cf=1
The second largest economy in East Africa is 35.2 percent urbanised, putting it ahead of its neighbouring countries. Despite being East Africa’s largest and most diversified economy, Kenya plays second fiddle to Tanzania in urbanisation levels at 28 percent, meaning just slightly more than a quarter of the country is urban.






Kuna post tuliwawekea ya miji 20 mikubwa Afrika Mashariki.. Tanzania imetawala hiyo list.. walitupiga Madongo humu na kutuona kama wehu..Mkenya wa kwnz kuikataa denial style of living ila Kuna mtu kaumia kweli kweli![]()
😅Aiseee!!! mchina katishaaaa, "plus 90kms of sidings" at 1.5b$, naona anataka kumpokonya tonge mdomoni mturuky🤣, ila wachina wako vizuri sana kwenye speed but wasije kutuchapia kama majirani na kutujengea 1st class fekiView attachment 1636983kuna ukweli wowote hapa?
Ndo kitu nahofia, ila faida yake ni kwmb atamkimbiza sn yerpi.Aiseee!!! mchina katishaaaa, "plus 90kms of sidings" at 1.5b$, naona anataka kumpokonya tonge mdomoni mturuky
, ila wachina wako vizuri sana kwenye speed but wasije kutuchapia kama majirani na kutujengea 1st class feki
Wakenya bwana hata wachina wanaojenga sgr wameorodheswa kama watalii ili mradi wamepitia jkiaSasa unataka kulinganisha 1.5m tourists with 2.5m tourists?![]()
View attachment 1636983kuna ukweli wowote hapa?
Wakenya bwana hata wachina wanaojenga sgr wameorodheswa kama watalii ili mradi wamepitia jkia
tutawakata pesa ambazo hawajawahi kutegemea dunuani....Aiseee!!! mchina katishaaaa, "plus 90kms of sidings" at 1.5b$, naona anataka kumpokonya tonge mdomoni mturuky
, ila wachina wako vizuri sana kwenye speed but wasije kutuchapia kama majirani na kutujengea 1st class feki
Naomba china apate ..hao china civil ndo wamejenga ubungo flyover wana time limit nzuri sana ingawa sijui kama wanamalipo mazuri kwa watuView attachment 1636983kuna ukweli wowote hapa?
Dar-Moro 1.2$bhiv ya Dar-Moro au Moro-Makutupora ilikuwa ni ngap each? i remember it ranged btn 1.3-1.5$ billions each lot.. then why hii ije 2.7$ billions??
wakipewa Yapi means kuna ya compensation for lot 1&2!!
Hahahahahah anaongea kwa uchunguu kama ni mkenyaa....watajua nini tunamanishaaa wachee game iendeleeeJamaa kasemaje???
Dar-Moro $1.2 bln to be precisely!hiv ya Dar-Moro au Moro-Makutupora ilikuwa ni ngap each? i remember it ranged btn 1.3-1.5$ billions each lot.. then why hii ije 2.7$ billions??
wakipewa Yapi means kuna ya compensation for lot 1&2!!