Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah ndivyo ilivyo kwa washamba na hakuna option nyingine,hamna namna nyie ipendeni tu hiyo skrepa lakini haina uwezo na hadhi ya dar brt,hiyo ni fact na keep it in your fuc*kin' head
BRT ya accidents na kubebwa Kama umesimama 🤣🤣wakati DMU kila mtu na kiti yake,hakuna kusimama Kama ng'ombe
 

Malagarasi Hydropower Project - Loan Approved Malagarasi Hydropower Project - Loan Approved
 
BRT ya accidents na kubebwa Kama umesimama 🤣🤣wakati DMU kila mtu na kiti yake,hakuna kusimama Kama ng'ombe
Sikulaumu jamaa,shida yako ni exposure hiyo kusimama kwa bus au train iko hadi new york,texas,tokyo etc najua mko na ile ushamba,mtaizoea hiyo mtumba taratiiiibu..
 
Wakenya wana matatizo ya akili! Leo wamepata Commuter trains mtumba Halafu wana the audacity to compare that crap to Dar’s BRT system. Because of our BRT system, Dar Es Salaam became the FIRST African city to win the Sustainable Transport Award and that happened just after we constructed the first phase. Kichaa anapost picha za basi lililopata ajali alinganishe na treni akijiona ni mtu mzima mwenye akili timamu. Kwa nini asipost hizi?
 
Kwa ground iko hivi. Are you aware that Nairobi Computer Railway is much modern than your BRT
 
Umemwaga povu karibu zote😂😂😂
 
Kwa ground iko hivi. Are you aware that Nairobi Computer Railway is much modern than your BRTView attachment 1636129View attachment 1636130
😂😂😂 what’s the problem here? People? You guys lack exposure! Umeshawahi kuona morning rush hour kwenye subway? Let me give you an example of New York.



Halafu, Speaking of modernity, what aspects of that railway make you think that it’s modern than Dar’s BRT system. Your trains are second hand and they use diesel! There is NOTHING modern about your railway. It’s full of old crap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…