Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Dar ni baba la miji maskini kama Bujumbura and Mogadishu juu Dar enyewe pia ni mji maskini. Ikifika kwa Nairobi hata msiote anything like that.
View attachment 1636008
Pilipili usioila.........Kwani iko nini si ni yetu.Na sisi hulipa deni sio kama wenzetu😂😂
Brt inakaa nyumba ya nguruwe
Ok ni fair kufananisha brt buses zilizoharibika na train chakavu kutoka uhispania..you guys are funny!!!..😁😂
Ebu wewe leta yako yenye inaweka Dar juu ya Nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ok i didn't know that we are in 2017..!
basi utulie sasa ,,uache kuwashwa.........Nijueje km wewe ndio mwanmke mwanake mi hunijui sikujui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ok ni fair kufananisha brt buses zilizoharibika na train chakavu kutoka uhispania..you guys are funny!!!..[emoji16][emoji23]
Talking of train chakavu, people really love them,it was crowded today at station,hio fare ya ksh100 ni ndogo sana for such high quality trains,waongeze iwe 250 hivi or else train station itageuka iwe crowded Kama matatu terminalsOk ni fair kufananisha brt buses zilizoharibika na train chakavu kutoka uhispania..you guys are funny!!!..😁😂
Sasa ona ulivyo mjinga, hizo habari za wealth umeleta wewe,halafu evidence unataka nilete mimi..mbona hujielewi dogo?!...nimesema hivi kilimani haijajengeka ni msitu mnene mwanzo mwisho yaani3/4 ni vichaka tu,wewe umekuja umesema kilimani ni wealther mara 2 ya dar,haya leta evidence,unaleta ya 2017,nayo ni wrong haizungumzii kilimani,inazungumzia nairobi..leta evidence that kilimani ni wealthier kuzidi dar in 2020..acha porojo kama pregnantEbu wewe leta yako yenye inaweka Dar juu ya Nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
And not suitable, terrible weather,waje Nairobi, weather is cool and welcomingDSM is very hot
Kusema ukweli ndio kuwashwa sio[emoji1787]basi utulie sasa ,,uache kuwashwa.........
Mikebe ya chokaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1636030
Khee ficha ujinga dogo,that is an accident!.ziko buses zaidi ya 1000 nyingine juzi tu hapa zimeletwa. .may be i missed your point,labda ulitaka kuelezea nini,!?maana ku-deal na fool ni kazi ati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1636030
Yeah ndivyo ilivyo kwa washamba na hakuna option nyingine,hamna namna nyie ipendeni tu hiyo skrepa lakini haina uwezo na hadhi ya dar brt,hiyo ni fact na keep it in your fuc*kin' headTalking of train chakavu, people really love them,it was crowded today at station,hio fare ya ksh100 ni ndogo sana for such high quality trains,waongeze iwe 250 hivi or else train station itageuka iwe crowded Kama matatu terminals
Wengine tulikamata juzi hapa dodoma wamejazana na wa-ethiopia
Kwani umesahau hii🤣🤣🤣👇👇👇Sasa ona ulivyo mjinga, hizo habari za wealth umeleta wewe,halafu evidence unataka nilete mimi..mbona hujielewi dogo?!...nimesema hivi kilimani haijajengeka ni msitu mnene mwanzo mwisho yaani3/4 ni vichaka tu,wewe umekuja umesema kilimani ni wealther mara 2 ya dar,haya leta evidence,unaleta ya 2017,nayo ni wrong haizungumzii kilimani,inazungumzia nairobi..leta evidence that kilimani ni wealthier kuzidi dar in 2020..acha porojo kama pregnant
Ndo mnavyoongopewa eeehhh..halafu we jamaa unakuwaga boga sana,nairobi kamwe haiwezi kuwa wealth kuzidi dar baba lao
Hiyo ni reply yangu ya pili niliyokujibu baada ya wewe kuchomekea mambo ya wealth wakati mada ilikuwa ni kilimani ni kichaka a.k.a bush usiwe mwepesi kusahauKwani umesahau hii🤣🤣🤣👇👇👇