Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watazoea tu km ile ya millionares, Kuna mmoja eti anasema bila aibu eti Nairobi ina best public transport in EA kisa mtumba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
huyo ni kichaa achana naye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
unahisi kukufa kisa nairobi haipo.

ng'ang'aneni mutoe matatu kwa city,zinakaa kama matoroli.
Nairobi ingelikua juu ya jozi ningelipinga vibaya sana, mbona ukweli mtamu jamani.

Blog uchwara hyo, eti facts from africa alafu ma zombie wanasherehekea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nairobi ingelikua juu ya jozi ningelipinga vibaya sana, mbona ukweli mtamu jamani.

Blog uchwara hyo, eti facts from africa alafu ma zombie wanasherehekea[emoji23][emoji23][emoji23]

jiji ambalo lina foreni mbaya kama nairobi,usitegemee kulikuta hapo.

kula hiyo dawa japo ni chungu.
 
Story za kdf zinahusikaje na hii mada? Halafu unasema tunafichwa matumizi ya pesa za covid! Umesahau jinsi waziri wenu Kabudi alivyotoa povu Tanzania ilipoulizwa jinsi walivyotumia pesa za msaada ya covid?
 
We nae kuwa uwe unaficha ujinga wako japo kdg, kwn USA hawajafanya maombi? Failed state hamjafanya maombi? Na mbn bado inawachinja? Mnatakiwa mkubali tu ukweli kwmb tz imeifundisha dunia kitu ilipaswa ifanyike japo inauma.
Labda mnaweza tu fundisha dunia jinsi ya kubana data. Hakuna lingine mnaweza fundisha dunia
 
You have comprehension problems
you are talking about Africa's potential iam talking about the real picture on the ground
California has high GDP than Africa the same as New York City GDP


About private prisons there is no shortage of criminals anyway
That is a business idea you must money to invest in any business
 
Labda mnaweza tu fundisha dunia jinsi ya kubana data. Hakuna lingine mnaweza fundisha dunia

kawaida huwa tuna wa outsmart mara zote,subiri uchaguzi wenu ufike ndio utajua hujui.

faida ya mtandao wakati kama huo ni ndogo kuliko hasara inayoweza kusababishwa.

wewe umekasirika,lakini uhuru ame note mahali wakati ukifika asome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…