hapana... i was there!
jamaa alipost customized Porsche kisha akaleta utani wa kiKenya 'ujaluo ni gharama'
haikua ushindani.....
kisha bangu bangu mwingine katujazia servers zetu na takataka za Mazda na Toyota pick-up double cabin.... nikamshauri akae pembeni maana hajijui/ hajitambui.
kukatokezea mwengine, kajifanya mjuaji kupindukia. akataka kuleta ushindani na kuleta Models za magari. kweli nilimwonea huruma.
akafundishwa aina zote za magari kuanzia Maserati, Maybach, Ferrari, Aston Martin, Bentley, BMW i8, Rolls Royce (Ghost, Phantom, Dawn). sikumbuki jamaa kaposti nini lakini sindano ilimwingia kisawasawa
ilibidi jamaa aseme kichwa kinamwuma. akakimbia kabla refer hajapiga firimbi