[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makasiriko ya nini?
Kwani ni Tanzania ndio imeleta corona kunyaland!
Juzi nilikuambua uthibitishe kuwa Tanzania kuna corona,
Na mimi nitathibitisha kuwa Tanzania hakuna corona kwa kutumia vithibitisho hai lakini hadi leo hii hujathibitisha kumaanisha kuwa ulikuwa unabwabwaja tu ovyo.
Cc The best 007
View attachment 1630569
Kumbe tuna hii mitambo kama yotengoja nililete na huku
wanasema huwa hatuna helicopters..
hizi za airbus tu ziko 13
I hear that too Akothee is the Most beautiful woman in Kenya[emoji28][emoji28]I hear that Magufuli is the Most Handsome man in Tanzania[emoji23][emoji23]
Zinawauma wakenya hz sema hamjui tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja nililete na huku
wanasema huwa hatuna helicopters..
hizi za airbus tu ziko 13
Analala sahiv kachoka sanaa na lindoMakasiriko ya nini?
Kwani ni Tanzania ndio imeleta corona kunyaland!
Juzi nilikuambua uthibitishe kuwa Tanzania kuna corona,
Na mimi nitathibitisha kuwa Tanzania hakuna corona kwa kutumia vithibitisho hai lakini hadi leo hii hujathibitisha kumaanisha kuwa ulikuwa unabwabwaja tu ovyo.
Cc The best 007
View attachment 1630569
So siasa zinaanza 2yrs before uchaguzi ni nchi gani duniani inafanya hvo nitajie moja tuHakuna nchi ambayo haiendeshwi kw siasa, hata ile kuwazuia wapinzani wasifanye mikutano tanzania hyo bado ni siasa.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mrembo kama wewe huwezi kutumia sm j7,fanya kujibu msg kule dm uingie dunia ya iphone mremboSema watawala wenu ndio walikua wakipata mgao kutokana na hyo michanga, mpuuzi tu ndio atasema km wale jamaa walikua wakila hela za bure..
Lkn mtu anaejielewa atajua km hzo zilikua njama za wapigaji..
Beberu hasumbuki na mbinu za kifala km hzo
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mimi nashindwa kukuelewa, mbona leo unatupiga madongo kuhusu muonekano ilhali unataka mpenzi mtzM
Mjukuu wa Kinjeke ngwale pole basi wewe ndio the second most handsome after uncle yako
Zinawauma wakenya hz sema hamjui tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
But KDF is powerful than TDFhawana hata moja ya hizi
View attachment 1630701
Ahaha in ua dreams.NEVERMimi nashindwa kukuelewa, mbona leo unatupiga madongo kuhusu muonekano ilhali unataka mpenzi mtz
Powerful of what wakat somalia inawatoa ushuzi hebu ntajie ni vita gani kenya mulishiriki kukomboa africa tujue😂😂😂But KDF is powerful than TDF
10 Most Powerful Militaries In Africa | Africa Facts
Which countries have the strongest Military in Africa in 2017? African countries have been seriously challenged in 2016 with increasing terrorist activity (AQMI, Al-Shabab, ISIS, Boko Haram..) and more and more civil unrest (Central African Republic, Libya..). Things have changed a lot in the...africa-facts.org Africa’s 2020 military power ranking (GFP)
Global Fire Power (GFP) has unveiled its 2020 Global Power index which ranks countries in the world based on their military forces. This year’s ranking assessed 138 nations, including 24 from Africa. GFP based its rating on five criteria namely, the number of serving military members, the naval...www.ecofinagency.com
Roho inamuuma kuona Waziri Mkuu anatembea na chopper bora kuliko Uhuru!hawana hata moja ya hizi
View attachment 1630701
hebu vuta picha, nimekushika mkono, taratiibu nauvuta huku nkiendelea kukuvuta kwa kukushika kiwiko cha mkono wa kulia then wakushoto, taratiibu nasogelea hizo lips...Ahaha in ua dreams.NEVER
bora huu mchaksto uanzeKazi imeanza sasa[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1241][emoji1241]