Na sasa kama ulikuwa unajua inajengwa na pesa ya mchina mbona unalikuwa unawashwa uonyeshwe billboard? Hiyo billboard bado haipo hadi saa hii lakini barabara inajengwa ๐Unehehhe hio ndio sehemu munajenga kwan pinnacle mulituambiaje do u remb๐๐๐ expressway ingeku ni pesa zingoka kwa mfuko wa mkenya subutu munegesubiri miaka 200 kumbe ppp mchina anamilki miaka 27 huku akiwakamua ushuru wa 600ksh per car hapo sawa subiri muone dunia ilivo chungu ๐๐๐๐๐. Mchina kawashika pabaya sana
Ulipata mtoto wa kike au wa kiume!!?
View attachment 1630280
Vita ni vita Mura.
Wewe mjita hujui hayo.
Mkiwa vitani mnapambana askari akianza kwenda kinyume na amri tayari ameshakuwa adui ni kumtandika shaba tu.
Unamtunza huyo mtoto!?Wewe jamaa utakua na matatizo sio bure. Ndio nilipata mtoto ndugu yangu asante sana.
Basi tulia usijifanye unajua kumbe hujui.Nishajua nia yako bana siwezi kuendelea kubishana na wewe tutaharibiana siku tu. Tafuta topic nyingine zangu uweke hapa.
Basi isiwe kama chakula basi hamuwezi kuanza siasa 2 yrs b4 alaf munategemea nchi iwe na maendeo hakuna nchi ya namna dunia hiiSiasa haikwepeki, yani iko km bomu la nyuklia vile...
BBI km ina manufaa kw taifa kwnn tusiiangazie na wabadili vile vipengele ambavyo havifai..
Devolution imetufikisha mbali sana, watu miaka hamsini hawajui maendeleo n nn lakini sai yamefika mpka turkana
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Tuoneshe sehemu munajenga nairobi 88 ๐๐๐๐๐ hebu tuoneshe tena mamaee munaona watu vipofu humu toka 2016 munajenga sasa tuineshe hio sehemu mumejenga toka 2016 hapa๐ ๐ ๐ ๐Na sasa kama ulikuwa unajua inajengwa na pesa ya mchina mbona unalikuwa unawashwa uonyeshwe billboard? Hiyo billboard bado haipo hadi saa hii lakini barabara inajengwa ๐
Hzo ni hasira zao, wao walitaka tujifungie kama wao sasa wanashangaa leo kazi zinasonga mbele tu๐๐๐๐ase we jamaa kapime mimba chap maana sio kwa gubu hili dhidi ya blessed one and only free covd19 state
af asira zako hazbadlishi kitu ee
Na bado hajafunga account ๐คฃ๐คฃTuoneshe sehemu munajenga nairobi 88 ๐๐๐๐๐ hebu tuoneshe tena mamaee munaona watu vipofu humu toka 2016 munajenga sasa tuineshe hio sehemu mumejenga toka 2016 hapa๐ ๐ ๐ ๐
Mpuuzi uyo achana nae,Wewe jamaa utakua na matatizo sio bure. Ndio nilipata mtoto ndugu yangu asante sana.
Unamtunza huyo mtoto!?
Je, ulirudi kutoka huko uswizi na bado upo hapo mwanza!?
Halafu hujanijibu ulipata mtoto wa kike au wa kiume!?
Niliona mnaongelea masuala ya ushoga na wewe ukasema ni issue ya mtu binafsi.
Ndio maana ninakuuliza ulipata mtoto wa kike au wa kiume!?
Kama ulipata wa kike utakuwa salama.
Na kingine kwenda kwako ulaya kusikufanye mjuaji wa kujua kila kitu. Unatakiwa uheshimu watanzania na maamuzi yao.
Wewe unafurahiya kuunganishiwa umeme hapo kwenye mtaa wenu mwanza, hiyo siyo hapo tu nchi nzima umeme umeunganishwa.
So hatutaki mtuvurugie nchi yetu. Nyie endeleeni kubeba mabox huko ulaya sisi tunalima na kujenga nchi yetu.
Meseji umeipata kisawa sawa.Mpuuzi uyo achana nae,
anamatatizo
Kazi yake kukagua msg za watu na kutafuta vi picha afu ana post hapa.
Tatizo la kukosa cha kufanya badala aongelee maada anaingia kwenye personnel ya mtu...
Bahati mbaya katafuta kwangu akaishia kuja na umri bandia na ushauri wa kitoto.
Muache aendelee kutafuta watu kwenye socialmedia.
Basi tulia usijifanye unajua kumbe hujui.
Upo Ulaya au Tanzania kwa sasa!?
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ukome kuitukana Tanzania.Nazani suala la mtoto ungemuuliza mama yako ambaye ndie nilizaa nae. Huna picha zangu uweke ili niweke za mama yako akiwa uchi?