Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

our BRT is big news in kenya.
they say if you find someone too strong for you defeat, stay low then learn his winning tactics.

6652d303024f7bd4d3c096c7c59821ca.jpg

6d49f3e71f1358b536ab172c81a8276c.jpg
02cd77bc5902a277e886c71c5e509134.jpg
6f9a9525b8ca10a9e649ee4510b276c2.jpg

BRT yetu inawaumiza kichwa wakenya...kumbe flyovers na highways hazijasaidia kitu.
 
it's good you follow up on every grapevine in Kenya. .....
 
pia ni furaha kubwa sana kuona wakenya mkipoteza mda "wenyu" mwingi jamiiforum.

NB:
jamiiforum inamilikiwa na mkenya mkikuyu anaitwa john njuguna.

makao mkuu ya jamiiforum yapo nairobi.
 
Magar mlikua mnamix kati ya customized car and customized plate number,Customized car is very xpensive can't compare with c.plate no
hapana... i was there!
jamaa alipost customized Porsche kisha akaleta utani wa kiKenya 'ujaluo ni gharama'
haikua ushindani.....
kisha bangu bangu mwingine katujazia servers zetu na takataka za Mazda na Toyota pick-up double cabin.... nikamshauri akae pembeni maana hajijui/ hajitambui.

kukatokezea mwengine, kajifanya mjuaji kupindukia. akataka kuleta ushindani na kuleta Models za magari. kweli nilimwonea huruma.
akafundishwa aina zote za magari kuanzia Maserati, Maybach, Ferrari, Aston Martin, Bentley, BMW i8, Rolls Royce (Ghost, Phantom, Dawn). sikumbuki jamaa kaposti nini lakini sindano ilimwingia kisawasawa
ilibidi jamaa aseme kichwa kinamwuma. akakimbia kabla refer hajapiga firimbi
 
hapana... i was there!
jamaa alipost customized Porsch kisha akaleta utani wa kiKenya 'ujaluo ni gharama'
haikua ushindani.....
kisha bangu bangu mwingine katujazia servers zetu na takataka za Mazda na Toyota pick-up double cabin.... nikamshauri akae pembeni maana hajijui/ hajitambui.

kukatokezea mwengine, kajifanya mjuaji kupindukia. akataka kuleta ushindani na kuleta Models za magari. kweli nilimwonea huruma.
akafundishwa aina zote za magari kuanzia Maserati, Maybach, Ferrari, Aston Martin, Bentley, BMW i8, Rolls Royce (Ghost, Phantom, Dawn). sikumbuki jamaa kaposti nini lakini sindano ilimwingia kisawasawa
ilibidi jamaa aseme kichwa kinamwuma. akakimbia kabla refer hajapiga firimbi
punguza povu wewe...

our BRT is big news in kenya.
they say if you find someone too strong for you defeat, stay low then learn his winning tactics.

6652d303024f7bd4d3c096c7c59821ca.jpg

6d49f3e71f1358b536ab172c81a8276c.jpg
02cd77bc5902a277e886c71c5e509134.jpg
6f9a9525b8ca10a9e649ee4510b276c2.jpg

BRT yetu inawaumiza kichwa wakenya...kumbe flyovers na highways hazijasaidia kitu.
 
kuwa muungwana. asiyekubali kushindwa si mshindani.
dunia yote ilikuwa hapa ukishuhudia kichapo cha kufa mtu
kama uko sawa tuendelee alafu tuone sasa maneno mengi ya nini??????😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom