alafu by the way ukifuatilizia vizuri watu wenye kulalamika hawajui kwanini wanalalamika hao bora wameskia watu wanalalmika..juzi naskia mtu analalamika ati expressway ni taxpayers money inaharibiwa..ilhali hajui hiyo barabara ni investor..Wakenya ni vile tunapenda kucomplain sana sijui kwa nini. Huko skyscraper city unakuta Wakenya wanalia sana eti mradi wa expressway ni mbaya ati wanataka tunnel ichimbwe chini ya Nairobi. Yaani expectation iko juu sana. Halafu basi za Brt niliyopost wanasema ati it is not low enough ati lazima iwe low kabisa. Yaani kama mtu anaweza complain about expressway basi huyo hawezi tosheka na maisha. Hata hiyo tunnel ikijengwa ataitafutia makosa.
hebu fuatilizieni comment apa kwa hili tweet..muone venye expressway imeshangaza wa TZ..hatimaye wamekubali kenya ni nchi imeendelea sana..hapa mulini chenga sana na viswahili zenu
hii ni expressway ni tofauti na hio ya nairobi mombasa..haa kumbe barabara ya Nairobi Mombasa bado kukamilika mpaka leo.
Unazungumza upuuzi. Barabara hio imekuwa na lami kuanzia 1963 Kenya ilipopata uhuruhaa kumbe barabara ya Nairobi Mombasa bado kukamilika mpaka leo.
So kwa sababu haina jam ndio serikali yenu iwakamue hivo?Boss wewe umeishi Kenya kwa muda mrefu hata unajua kuongea sheng. Sasa kama umefika Nairobi basi unajua kuwa nauli kutoka Cbd hadi embakasi ni ksh 100. Sasa hizo ng'ombe kama hazitaki kupanda train basi zipande matatu zipambane na jam ya Mombasa road. Kumbuka train haina jam.
uzuri sisi waga haturingi..tunajenga vitu za maana..kimya kimya...
Sawa wacha nikuignore basi.So kwa sababu haina jam ndio serikali yenu iwakamue hivo?
Huku Tanzania BRT haina jamu ya barabarani na wananchi hawakamuliwi na serikali fare kubwa hivo,
Huo utetezi wako hauna mashiko hata kidogo ni bora unge ignore comment yangu.
Is this 1% of this πππππSatellite image of Konza city. Naona bado hii city ni 0.5% complete kama Wabongo walivyosema jana.
View attachment 1628220
Ni kitu gani kinakufanya usijue kwmb hao ni wakenya wenzio? Mtanzania gani anaongea hvyo mbn wajinga sn nyie watu?
boss pitia apo..soma comments za wenzio..ata kiswahili chenye kinaongelewa apa ni ki tanzania..huoni kwenye comment section wakenya wameshindwa waseme ninNi kitu gani kinakufanya usijue kwmb hao ni wakenya wenzio? Mtanzania gani anaongea hvyo mbn wajinga sn nyie watu?
Hao ni wabongo. Sisi Wakenya hatuwezi iga kiswahili chenu. MK254 na Wakenya walioishi huko Bongo ndio Wakenya pekee wanaoweza kuiga hicho kiswahili chenu kigumu. Kiswahili chenu ni tofauti sana na chetu na wala Mkenya hawezi kuiga kiswahili chenu ikiwa hajaishi huko kwenu.Ni kitu gani kinakufanya usijue kwmb hao ni wakenya wenzio? Mtanzania gani anaongea hvyo mbn wajinga sn nyie watu?
Is this 1% of this πππππ pima mkojo ww
Huyu jamaa ako in denial. Kiswahili cha Kitanzania ni tofauti sana na chetu. Sasa hataki kukubali kuwa Watanzania wenzake wanasifu Nairobi expressway.boss pitia apo..soma comments za wenzio..ata kiswahili chenye kinaongelewa apa ni ki tanzania..huoni kwenye comment section wakenya wameshindwa waseme nin
amenishtua sana na comment yake,,hadi nika baki..like WTF is this guy? itabidi akuje mwenye ajionee juu wenzake washakubaliHuyu jamaa ako in denial. Kiswahili cha Kitanzania ni tofauti sana na chetu. Sasa hataki kukubali kuwa Watanzania wenzake wanasifu Nairobi expressway.
Sasa hapo unaona mwenyewe umepost kitu cha maana sana πππππ