Unataka nikuletee budget statements za GOK kuanzia 2014? Tuone kama Lamu port haimo ndani ya budget ya kila mwaka? Mimi naongea kuhusu budget ya GOK mimi siongei kuhusu article ya gazeti ya 2014. Hapa hutashinda.Pima mkojo kwanza ππππππ
Angalia imeandikwa kabisa mpo mafukara zaidi ya million 25 na tunajua mpo million 44Kwa hivyo a third of 44 ni 25! π π π
Hivi, Tanzania shule mnaenda kusoma au kuwakilisha?
Kama hivyo ndivyo mnavyofundishwa shuleni kwamba 25 is a third of 44 mbona nisumbuane nawe? Stupidity runs deep inside you people and your poor education system hasn't helped alleviate this. Adios!Angalia imeandikwa kabisa mpo mafukara zaidi ya million 25 na tunajua mpo million 44
Na kipindi hiki kwa namna Corona inavyowatafuna lazima muwe million 35 so practically 90% of Kenyans are last grade paupers, scavengers, bones eaters
View attachment 1628109
DW is a news channel. It doesn't compile data from government sources in each and every country in the world regarding covid-19 or any other thing for that matter. Even if the government of Kenya says today that corona has ended in Kenya mysteriously just like it did in Tanzania, they would still report that there's no corona in Kenya. It is a news channel and news is its businessSo wajerumani a.k.a mabwana zenu Leo wamegeuka waongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ile kamati ya roho chafu ije sasa na povu zao π πDMUs zimeanza kutumika na Wakenya
View attachment 1628105View attachment 1628106View attachment 1628107View attachment 1628108
Mbona platforms zimekaa kijuakali namna hii? Ngazi ya nini?DMUs zimeanza kutumika na Wakenya
View attachment 1628105View attachment 1628106View attachment 1628107View attachment 1628108
Matter of fact am not the one who put on masks [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], So that must tell you something, our way of solve this disease is 100% working, it does'nt matter whether you like it or not....WE ARE THE CHOOSEN ONE.Of course everything doesn't need science. No wonder you ended up finding traces of COVID-19 virus in goat and pawpaw samples
No wonder we never understand or recognize you as middle income country since 2014 , poor you....Hamna tofauti na Somalia, maskini wa Tz hawezi kufa kwa njaa, can your country say the same?Tofauti iko hapa
Must you (Tanzania) recognize us (Kenya) for us to be middle income country? Which law is that? πNo wonder we never understand or recognize you as middle income country since 2014 , poor you....Hamna tofauti na Somalia, maskini wa Tz hawezi kufa kwa njaa, can your country say the same?
LOL how much we're being what? ππππExactly my point. They can't see how much they are being lied to. Lakini kwa jinsi walivyo wajinga wanasherekea
Sikuelewi. Kwani platform zetu lazima zifanane na zenu?Mbona platforms zimekaa kijuakali namna hii? Ngazi ya nini?
Sijakuuliza mambo ya mataifa yote duniani...hapa nimekuambia uthibitishe kuwa Magu anatudanganya kuhusu corona,
Ukishindwa mimi nitathibitisha kuwa Tanzania hakuna corona.
Nawashangaa nyie wajinga ambao ilikuwa kila kifo kikitokea Tanzania mnaanza kuzusha kuwa ni corona,Kwhyo mliooacha kupima tanzania watu hawafi tena siku hizi
Yaani unafurahia uzembe wa serikali yenu kushindwa kulinda raia wake hadi kupelekea raia kumiliki silaha kiholela!Bwahaha!!si we ilikua unamkejelo na kumdharau, sasa ingia katika kumi na nane zake akutoe hzo chips kavu ulizokula