Unajua Kinachoendelea Bagamoyo port!?
Hii njia itahusisha mwendo kasi ? Kamukhm
Barabara hii Itakuwa na Njia maalumu ya mabasi ya kwenda haraka.. Mwenge Ubungo Buguruni nakuendelea pia..Hii njia itahusisha mwendo kasi ? Kamukhm
Hii upite usiku wamewasha Taa.. hatari.Ngoja tuwakereee kidogoView attachment 1626974
Ngoja Konza ikifunguliwa tutakualikaSs wewe unavyoona hapo kuna nn zaidi ya ghorofa moja pekee? Au ni yale maghorofa ya kwenye render ndiyo unajivunia nayo? Kenya bhn yn mnapoteza pesa nyingi kwa upuuzi ambao gharama zake hamziwezi, ilipasa hyo pesa ya ku dizain Konza city mpeleke maji, umeme na hospitali kule kwenye ma slums ya kidunia yanayotesa wananchi wenu na co hz ndoto za alinacha mko nazo.
Jengeni mambo muhimu kwanza kama sisi tunavyofanya zen hayo mengine luxury yatakuja automatically.
Hata ingekua inajengwa mbinguni but i know konza 10yrs back ππππ so ukinionesha 1% of render ya konza mm nafunga acc jamii forumKonza haijengwi Nairobi. Ona huyu wazimu
So show me just 1% of that render ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my wordsππππ remb is over 10yrs nowKama hujui kitu sema uelezewe. Usilete battle kwa kila kitu. Hii ni asilimia moja? Wavuta bangi wamejaa Tanzania
This current budget year alone the GOK has invested ksh 12 billion ($120 million) into Konza. Kama hujui kitu nyamaza.Wacha kuwa na emotions kama mtoto wa kike! Less than $100 mln imekuwa invested at Konza city that is to cost $14.5bln! Do the maths! Actually less than 0.5% n to be specific 0.0006896551724137931 or 0.07%!
Ziko mbili amabzo ni cash deal mzee πππ hakuna mambo ya leaseDreamliner tayari inakatiza route ya India. Wacha kuwa na akili mgando.
ππππ mm nakwambia bangi inavutwaLess than 1% hii ni 0.5%
Render yenyewe hii hapa mwamabie akuoneshe just 1% of this akipata mm nafunga acc jamii forum na hapo ina over 10yrs tayarπππππSs wewe unavyoona hapo kuna nn zaidi ya ghorofa moja pekee? Au ni yale maghorofa ya kwenye render ndiyo unajivunia nayo? Kenya bhn yn mnapoteza pesa nyingi kwa upuuzi ambao gharama zake hamziwezi, ilipasa hyo pesa ya ku dizain Konza city mpeleke maji, umeme na hospitali kule kwenye ma slums ya kidunia yanayotesa wananchi wenu na co hz ndoto za alinacha mko nazo.
Jengeni mambo muhimu kwanza kama sisi tunavyofanya zen hayo mengine luxury yatakuja automatically.
JKIA + Nairobi terminus hazioni ndani!Ngoja tuwakereee kidogoView attachment 1626974
Acha Mabishano na Akina Omondi.. watakupasua masikio! πSo show me just 1% of that render ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] remb is over 10yrs now
Is that 1% of this [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3] kweli bangi inavutwa
View attachment 1626995
Uehehehhe naona umepewa ukweli πππ pima mkojo wako huenda una corona mkojo wakoWewe tunakujua unachukia Kenya
Lini 2200 labda πππ au musubiri yesu ashueNgoja Konza ikifunguliwa tutakualika
Hawa nawajua vzr bro πππ yani najua mpaka kutofautisha chupi zaoAcha Mabishano na Akina Omondi.. watakupasua masikio! π
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mshikaji kabadilika nimempa ukweli anadai naichukia Kenya! Miradi mingi ni ya wiziwizi na kimagumashi!Uehehehhe naona umepewa ukweli πππ pima mkojo wako huenda una corona mkojo wako
Wanapenda Render... Hatari... πHawa nawajua vzr bro [emoji23][emoji23][emoji23] yani najua mpaka kutofautisha chupi zao
Hao waongo waongo ...matapeli matapeli... Huwezi kuamini a thing they are telling you.Mshikaji kabadilika nimempa ukweli anadai naichukia Kenya! Miradi mingi ni ya wiziwizi na kimagumashi!