Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata huelewi nlichoandika na hujui unachoreply, bila shaka utakua umesurufu. Endelea kupambana dada utapata mume TZ wala usihofu
Hahaha!!imepenya mpka ukashindwa ujibu nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]
 
Sema katika nchi maskini, lkn wanazojielewa hawatumii maandamano katika mambo ya siasa pekee bali pia kudai haki zao..
 
Huku tunaamini kama sio chako huna sauti.
Na ukiwa na chako punda yeyote hana kelele...

I don't have to tell you that... It's obvious. Hata Uhuru knows

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hehehe!!wazee wa kuajiriwa kifalambwanga, yani unatia sahihi bila ya kmhta kuusoma mkataba unasema nn kisa uzembe[emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe!!wazee wa kuajiriwa kifalambwanga, yani unatia sahihi bila ya kmhta kuusoma mkataba unasema nn kisa uzembe[emoji1787][emoji1787]
We kariri mkataba front to back.. Wife akikuchoka ..unatambaa haina kelele... Umkondeshe roho bebi kisa nn !?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanaionea donge[emoji1787][emoji1787]
Wanga saizi wapo mizimu wananengua pabomoke..

Jiwe si anapenda ku refer vitu kutoka kenya, alipe hyo sasa
Manake kajaribu thika ikaangukia puani
Kubaka highway 19km bado iko kichakani. Expressway hawezi dhubutu ata yeye anajua ligi yake sio ya juu hivo.
 
LOL sasa ninyi tu kujilisha mnahitaji msaada wa muarabu, kupambana na Tanzania inayowalisha kwa 90% ndio mtaweza kweli? Au agribusiness ina maana tofauti niijuayo?
 
Sio kweli, tulijaribu serikali za majimbo enzi za Nyerere na ikashindikana, hasara ni kubwa kuliko faida, hata Kenya huo mfumo utashindikana, na tayari athari zake zimeanza kujitokeza hapo Kenya
1)Gharama kubwa za kuendesha serikali
2)Kuchelewa katika utekekezaji wa miradi ya nchi
3)Kuwepo kwa tofauti kubwa ya maendeleo miongoni mwa majimbo
4)Kuongezeka kwa ukabila
5)Kupungua kwa mshikamano na umoja wa kitaifa
6)Kuongezeka kwa rushwa
 
Tanzania haijawahi kuwa na serikali za majimbo!
 
Sio kweli, tulijaribu serikali za majimbo enzi za Nyerere na ikashindikana, hasara ni kubwa kuliko faida, hata Kenya huo mfumo
Kwa jinsi nilivyozielewa falsafa za mwalimu kuhusu kufanya kazi kwa pamoja kama wajamaa, hii itakuwa ilinipita. Nikumbushe kidogo, ni lini tulikuwa na serikali ya majimbo Tanzania?
 
Wacha tukamuliwe maziwa tunayo nyingi..go Nairobi go,,am happy to see such a huge road rising in my motherland country,,I love u Kenya,,Uhuru tano tena,🤣so sweet indeed
27 good years munalipa wa china kwa toll 😂😂😂 600ksh per car aiseee mchina amaeishika dunia
 
15 yrs mujenge kwa pesa zenu sio munaenda kuwakamua wakenya maskini tena kullipa wa china kwa miaka 27 tena huoni ni akili au mifupa😂😂😂
 
Kubaka highway 19km bado iko kichakani. Expressway hawezi dhubutu ata yeye anajua ligi yake sio ya juu hivo.
Mbona BRT iliwatokeana makalioni mukabakia kupata lipstick pale thika 2 yrs 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…