Bwahahaa!!kwn maandano ni kwa ajili ya uchaguzi ya uchaguzi pekeeake..yale yapo kikatiba na unafuata kanuni na kuingia barabarani kudai haki yako...Anashangaza sana uyu demu yn tng asubuhi amekazania kulazimisha watu waandamane ili nasisi tuharibu nchi yetu km wao, umoja wetu ulijengwa kwa gharama kubwa hakuna fala yeyote atajaribu kuuharibu, WaTz kwetu uchaguzi ni kitu kidogo sana hatuwezi kupoteza amani yetu kwa kitu cha cku mbili.
Alafu kwnn tuandamane, kisa nn ss wkt viongozi tumewachagua cc wenyewe [emoji3][emoji3] yn tuchague viongozi alafu tuwakatae ss hyo itakuwa akili au tope? Yani tumewachagua cc wenyewe kwa wingi wetu alafu leo tena tuandamane hivi unajisikia lkn ww[emoji3][emoji3][emoji3]
Akili zako zinawaza siasa tu jomba[emoji1787][emoji1787]Kwahyo wewe uko hapa kulazimisha WaTz waandamane au co? Uliona wapi watz wakaamini wapinzani?
Kwn marekani ndio marufuku kuingia barabarani kuandamana, tena wajiskia weweSi huwa mnatumia US km benchmark leo unakataa.
Hatuez elewa point isiokua na miguu, mtanzania mwenye akili hawezi kuandamana kwa kitu hakina msingi,Point yangu mnaielewa lkn bado mnajitoa ufahamau, kifupi tanzania hufai kuandamana kudai haki yako..
Usibadili gear, swala hapa ni je tanzania kudai haki yako ni kosa la jinai?[emoji1787]Uhehehehhehheheh nioneshe niwaone [emoji23][emoji23]
Hahaha!!kwhyo mambo ya msingi ni ndege kukakamatwa sauzi mpka zikawafanya mkaandamana nje ya balozi sio[emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]Hatuez elewa point isiokua na miguu, mtanzania mwenye akili hawezi kuandamana kwa kitu hakina msingi,
haki gani ndio swali la msingi kwamba hauli chakula sasa uandamane au
Tz hatuna papara za maisha kama ninyi.vipi BBI mmefikia wapi maana 2022 ,tunasubiri kuona mkivurugana kwa madarakaPoint yangu mnaielewa lkn bado mnajitoa ufahamau, kifupi tanzania hufai kuandamana kudai haki yako..
Unadai haki gani hebu jibu swali languBwahahaa!!kwn maandano ni kwa ajili ya uchaguzi ya uchaguzi pekeeake..yale yapo kikatiba na unafuata kanuni na kuingia barabarani kudai haki yako...
Tatizo north korea wa upande wa south kudai haki yako ni kosa la jinai
Hujajibu swali unataka kuandamana kwa msingi upi na utueleze ipi sababu ya kuandamana???Hahaha!!kwhyo mambo ya msingi ni ndege kukakamatwa sauzi mpka zikawafanya mkaandamana nje ya balozi sio[emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
Eeee!!lazima kila simba wote mbugani wangurume wala hakuna wakumpimia mwenzake..Tz hatuna papara za maisha kama ninyi.vipi BBI mmefikia wapi maana 2022 ,tunasubiri kuona mkivurugana kwa madaraka
Wako wapi tuoneshe hzo ndio haki za watoto kenya wanachukuliwa kwenda kutupwa kama nguruwe misituni kisa mzungu asiwaone wakizagaa mjini๐๐๐Usibadili gear, swala hapa ni je tanzania kudai haki yako ni kosa la jinai?[emoji1787]
Hivi leo hujui km serekali yenu haiwatendei haki linapokuja swala la individual..Unadai haki gani hebu jibu swali langu
Sawa ngojeni mkulima akamate ndege tena ndio muandamane, mambo mengine ya kibinadamu yakitendeka jificheni katika kivuli cha amani na umojaHujajibu swali unataka kuandamana kwa msingi upi na utueleze ipi sababu ya kuandamana???
na wapi uliskia tanzania watu wanaandamana ovyo ovyo
Sasa nlikua sitaki kuendelea na huu mjadala lkn naona una force, sasa wewe nionyeshe hao watoto hko msituni manake naona umeleta tweet tu..Wako wapi tuoneshe hzo ndio haki za watoto kenya wanachukuliwa kwenda kutupwa kama nguruwe misituni kisa mzungu asiwaone wakizagaa mjini[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkulima kama alikamata mbona aliachia sasa ili tujue mkulima kiboko ๐๐Sawa ngojeni mkulima akamate ndege tena ndio muandamane, mambo mengine ya kibinadamu yakitendeka jificheni katika kivuli cha amani na umoja
Mjadala gani ??? Kuwatokomeza watoto wa mtaani machakani ndio haki za watoto hzo tena bora ukae kimya hakuna nchi ina sheria za ovyo kwa binaadamu kama kenya na hili nimeliona kwa macho yangu sio kuhadithiwa๐Sasa nlikua sitaki kuendelea na huu mjadala lkn naona una force, sasa wewe nionyeshe hao watoto hko msituni manake naona umeleta tweet tu..
Uko na ushahidi gani?
Kama lipi eleza hapa ueleweke individual like what ??? Kama kura kila mmoja alipiga individual so ulitaka iweje???Hivi leo hujui km serekali yenu haiwatendei haki linapokuja swala la individual..
We unafikiria ni wafanyikazi wangapi hawajilipwa mafao hko bongo..
Mwaka wa ngapi huu hakuna nyongeza za mishara lkn bado mpo kimya, kisha kinachoshngaza mishara haipandi ila kodi inapanda mara dufu hku bidhaa nazo zikipanda
Haya ni mambo hutakaa kuyapata dunia hii ๐๐๐๐๐๐๐Sawa ngojeni mkulima akamate ndege tena ndio muandamane, mambo mengine ya kibinadamu yakitendeka jificheni katika kivuli cha amani na umoja
Hhhhhh!!nimeongea kitu kimoja tu ndio kimekufanya upayuke hvo...Mkulima kama alikamata mbona aliachia sasa ili tujue mkulima kiboko [emoji23][emoji23]
tatizo lako ww ni wivu tu kwann air tanzania ina ndege za kisasa tena cash deal [emoji3][emoji3]
Sheria ya ardhi tanzania huwez kumiliki ardhi ww mgeni wakat mwenyej yupo so hilo linafahamika
Wastaafu gani wakat awamu hii imejitahidi sana kuwalipa wastaafu๐๐๐๐Hivi leo hujui km serekali yenu haiwatendei haki linapokuja swala la individual..
We unafikiria ni wafanyikazi wangapi hawajilipwa mafao hko bongo..
Mwaka wa ngapi huu hakuna nyongeza za mishara lkn bado mpo kimya, kisha kinachoshngaza mishara haipandi ila kodi inapanda mara dufu hku bidhaa nazo zikipanda