IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Najua it's unbelievable nakuelewa vizuri sana ila amini usiamini hapa ni kenya. Plus hizo hapo pia ziko na plates huamini? Jameni, na uache kupost zenye sio tanzania pleaseTuoneshe magari yenye plate no ya kenya sio magari mapya yapo kwenye ndege nani ataamini kama hapo kenya😀😀😀😀