IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,448
Naomba usaidizi wa Kadoda11 hapa ingawa wewe ni chizi kivyako wacha niamini you are better off.tafadhali elezea ndugu yako maana naona hapa hayuelewani. He seems to think Customized plates are only allowed in tanzania 😀😀Pimbi goja nikueleweshe kwa upole maana ushamba ni mzigo kwako maana najua na humiliation yakuishi dormitory inachangia kuropoka ivyo
Tanzania plate number kwa kwa muonekano ni nzuri kushinda za Kenya hilo hakuna ubishi cha msingi kama una taka number nzuri ya gari yako njoo chonga Tanzania
Kingine uku wanaruhusu MTU kuwa na namba ya hitaji lako mfano jina ila pesa yake ni kubwa
Can any English speaking tanzanian give me the details on how much it costs you to get a custom plate???!!!!?? Kama hii hapa (1 million kenya shillings)