Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu kimeanikwa wazi maneno yako hayana nguvu ya kufuta obvious evidence๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kiswahili kitukuzwe kweli, hapa ndajifunza mengi, endelea kulia lia tu, jibu hauna ni hekaya za abunuasi umebaki nazo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwamba hio ndio density
 
Ndio maana napenda video clip! Dar maneno yake kwisha!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., you swallowed the bait, nilitamani sana drone video clips kwasababu nilikua nimechambua zote availed kwa mtandao, did proper comparison analysis, mimi siweki clips blindly kwa mbwembwe za kipuzi, I take time๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hii ulio weka hapa kamaliza mchezo! Zaidi ya hii section unaita "congrete jungle"., nothing substantial to come anywhere near Nairobi far North, East, west na south๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,

Just give me progress ya phase 2 brt in Dar., SGR station, naskia wamemaliza clading, the common kienyeji three level๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., progress ya sgr ya umeme hapa ndio mumekomea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ small comparisons mostly wa muonekano na type of infrstracture tu not functionality.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ bro, just relax wacha kujikaza sana!, uliingia mtegoni na hautoki!
Zungukaaa weee siku ukipata concrete jungle ya level huii๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ mm nafunga acc jamii forum forever๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„

 
Kuna jambo linaendelea pale Changโ€™ombe.
IMG_20201111_122814_713.JPG
 
Kuna jambo linaendelea pale Changโ€™ombe. View attachment 1624070
Hilo jambo linaenda parallel na lile jambo la pale uhasibu, tumeamua kubadilisha Dar kwa kasi ya mwanga, now zitakuwa zinajengwa mbili mbili cz uwezo tunao

Kuna watu wanahoji cement kupotea mitaani hawaoni hii kasi ya ujenzi au
 
Hiyo section jamaa ka weka ni sehemu ndogo sana ya hiyo drone video clip ya Mombasa ni section wa mji ulio jengwa na Portuguese, ukielekea maeneo ya fort jesus, hiyo architecture ni a historical heritage serikali haiwezi iondoa., wana preserve history. Jamaa katapatapa tu.
Zuka hilo
Ameamua kutapatapa na ile sehemu ya old town hajui km sai inatumika km kivutio cha utaliu

Umekamata mtu
 
Aliekwambia ni section ndogo nani wakat uchumi wa mombasa uko pale
Uchumi wa mombasa uko old town..

Joto, mwanza haiwezi old town, ukitaka rudia rudia na hyo sehemu ambayo wenyewe wameweka paa juu ya ghorofa zao
 
Hizi flyover 11 zikiisha tutakuwa na utitiri wa modern flyovers in Dar na baada ya hapo sitotaka kusikia habari za flyover za tofali mana wenzetu wanajivunia flyover za stone age walizojengewa na mkoloni mpk leo na hazifiki 5 lkn kelele zake ss
Kwhyo unamaanisha tuko miaka 50 mbele yenu
 
Uchumi wa mombasa uko old town..

Joto, mwanza haiwezi old town, ukitaka rudia rudia na hyo sehemu ambayo wenyewe wameweka paa juu ya ghorofa zao
Uehehhe baada nairobi kuhemea makalio sasa mumeleta ushuzi wa pwani kuja kusaidia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Zuka hilo
Ameamua kutapatapa na ile sehemu ya old town hajui km sai inatumika km kivutio cha utaliu

Umekamata mtu
Mbona hamuleti hio sehemu nyingine ambayo iko nje ya hapa nashangaa munatoa mapovu tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom