Hamna kitu hapo bwanaTukisema kenya bado kushindana na Tz mnalia, hebu tazama technology iliyotumika kujenga hyo road na wala hatujali bado tunajenga [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1622715
Tanzania bado sana[emoji1787][emoji1787]Leo nakukomesha leo, tazama road quality af niletee road iliyo quality km hii kenya nzima nitoke Jf [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622716
Mambo madogo hayo, na wala hku sio za watoto wa mabilioneaTanzania bhn baba laooo, tukija kwenye battle ya gari kali ndo usiseme, kuna mkenya mmoja uko juu eti anatoa execuses kwmb umaskini wote huu bado watu wananunua Lamborghini, anajisahaulisha kwmb Tz ndiyo nchi yenye dollar millionaires wengi in East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622717View attachment 1622718View attachment 1622720View attachment 1622721View attachment 1622722
Ndo hii mnaita brt [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tanzania bado sana[emoji1787][emoji1787]View attachment 1622949
Umepanic, hyo ni barabara inasukwa mombasa[emoji1787][emoji1787]Ndo hii mnaita brt [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hyo sijui km shule alipita kweli, manale huaga hafanyi research kabisaUnder construction how? Sasa unageuza goli eti the largest[emoji23][emoji23][emoji23] soma what u posted idiot![emoji2][emoji23][emoji23] eti "...the only cable stayed bridge.." ya Uganda iliisha almost two years now[emoji23]., wewe ni mpumbavu kupindukia[emoji23][emoji23][emoji23] meza kiburi kaka kua mpole wacha kimbelembele[emoji23][emoji23] ama nianze kuwapa forensic facts about Tz najua hampendi ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu twende tuone nani ataishiwa pumzi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Mambo madogo hayo, na wala hku sio za watoto wa mabilioneaView attachment 1622951View attachment 1622952
Ndo mnasuka leo cc tunayo 10 yrs back [emoji3][emoji3][emoji3]Umepanic, hyo ni barabara inasukwa mombasa[emoji1787][emoji1787]
Ss huu ni ushuzi gn una post humu [emoji3][emoji3]Mambo madogo hayo, na wala hku sio za watoto wa mabilioneaView attachment 1622951View attachment 1622952
With ua zero exposure na negligible education bado unapiga kelele.Unajifanya smarter and uar just useless
Unapost cheap lambo hapa[emoji1787][emoji1787]Ss huu ni ushuzi gn una post humu [emoji3][emoji3]
Tuonyeshe hii technology nitoke jf[emoji1787][emoji1787]Ndo mnasuka leo cc tunayo 10 yrs back [emoji3][emoji3][emoji3]
Argument za kitoto sifanyiHebu twende tuone nani ataishiwa pumzi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1622959View attachment 1622961View attachment 1622962
Correction: Hiki ni kijiji cha mpira wa miguu pekee sio kijiji cha michezo. NOT A COMPLEX๐๐๐๐Hicho apo chini ndiyo kijiji cha michezo, tuna plan ya kuandaa Afcon miaka michache ijayo, ona viwanja vya heshima vipo sehemu moja na wala hatujali bado tunajenga vingine mfano kile cha Dodoma ndo kitakuwa kikubwa Afrika nzima [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622707
๐๐๐jamaa ako hivyo muelewe tu. A Dar die-hard ๐๐Argument za kitoto sifanyi
Yet extreme poverty is leading! Ni ujinga wa kiaina๐๐๐ yaani haisemeki๐๐ mko ovyo mental structure ndio maana mko ovyo EAC na SADC.,Nchi ya maziwa na asali [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1622764View attachment 1622765View attachment 1622766View attachment 1622767
Muongo wewe ๐๐๐hapo ni wapi kaka?., ama unataka drone video clip?., hauna chako lazima utafute pakutokea ili eti Tz ionekane nafuu๐๐๐Hii road ni mpya kabisa lkn Wakenya kwasababu hawana elimu ya usafi wamei vandalise hiyo road now mifugo, magari, watu wanapita hapo hapo.
Hakuna mkenya huwa anapost hilo daraja ukiona anapost basi anapost wakati inajengwa, jamaa wachafu sana hawaView attachment 1622884
Tazama omba omba wa Tanzania hapo kwa stairs! Wanakimbia jehanamu kule Tz๐๐๐Wana maisha magumu mno zaidi ya mnavyoweza kudhani ndugu zangu wasiongope eti ni Kibera tu hapana ni kenya nzima wana hali ngumu ngumu ngumu sana na ndiyo maana mkenya yeyote akipata fursa ya kuja Tz huwa hatamani kurudi kabisa, mm lecturer wng alikuwa mkenya huwa c mtu wa kurudi rudi nyumbani kabisa mpk tukawa tunashangaaView attachment 1622891View attachment 1622892View attachment 1622893
Hapa ata Uganda wako on top of you. Nani akae na watu warogi na roho mbaya! Hampendi wageni! Hili wachia Kenya na Uganda nenda mkaketi na South Africans xenophobic minds wenzenu๐๐๐๐Kenya haitowahi kuwa na the largest refugees camp than Tz huwa mnaongopa ili mpewe misaada muitafune, labda ujumlishe na Wakenya wenyewe mana ni wakimbizi ndani ya nchi yao [emoji3][emoji3][emoji3]
Case closed. Kumbe I am just engaging a bimboKenya haitowahi kuwa na the largest refugees camp than Tz huwa mnaongopa ili mpewe misaada muitafune, labda ujumlishe na Wakenya wenyewe mana ni wakimbizi ndani ya nchi yao [emoji3][emoji3][emoji3]