Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mdogo mdogo
Screenshot_20170621-171638.jpg
 
hahaha does someone brag about free WiFi. ...!!!.That's what Ma3z has been using to attract customers
 
Haya majengo yenye nusu ya jengo mnara yanachekesha sana
Tanzania hakuna ushamba kama huo wa kuongeza jengo kwa antenna
Majengo yenye nusu jengo nusu antenna ndio marefu wanajivunia wa Kenya na ambayo hayana mnara ni Dar es salam yani kitu hakina antenna lakini kimepita yenye antenna pamoja na antenna zao that's means wakitoa antenna Nairobi ishindane na arusha kwa majengo
img1498055014807.jpg
 
Back
Top Bottom