Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

12de2d3e87b43c9e9b37271732b58029.jpg

b7e028972ec3d0342253b930424a389b.jpg

5fb4f9b12b6cf00f998619cc25a328f1.jpg

ad926364a0573308ce343ca53daffa77.jpg

a8f64b9021b59d7d303a1776b2c84061.jpg

3e44c841938b9e8608da06a9a6646dea.jpg

e344824192466c30e112f8d2c7657dc8.jpg

0ddd83c36a97c82fc27dd459c71303a1.jpg

5b56f8abe0e21883e6d3e79d78d88549.jpg
 
4ec8072e6517057d20cd28a3da968d22.jpg
7b37b3c29bae05b72559d68c4f3851d2.jpg

Labda unambie what is wrong with Upanga ....umekua mtu wa kuponda hadi jumlisha unasema ni msalaba
HAHAHA hizi ndo hua mnaita dormitories kwa lugha yenu? Au hizo sio apartments?
 
Hawa wa kenya wanahisi CBD ni moja tu Dar
Kuna Posta Ya Zamani CBD
Posta mpya CBD
Kijitonyama CBD
Upanga
Kariakoo
 
Dormitory zenu hua zinanikumbusha chuoni nyie ndio mnaona ndio unyamwezi
 
those 9000 Tanzanians wenye walikuwa na forged documents kwani ni nini?
angalau tanzania tumethubutu kuunda tume kuchunguza, tukapata watu 9000, na nina uhakika hiyo idadi ni ndogo.maana private sector haikuguswa.

huko kwenyu watu wenye forged academic certificate ni wengi sana but mumekaa kimya maana ukora upo kwenye damu ya wakenya.

55845d065439a7b715ba5d926758644c.jpg
482cfd858383d7e9f317a34ae8d6012b.jpg

8afc0768c7beb06f59d6d9f1bc9e3210.jpg

6eb6a445e83046df0ca8719088043632.jpg
 
Magufuli afungua kiwanda cha matrekta cha kipekee africa mashariki na kati.....
Kitazalisha tractors elfu tatu kwa mwaka na kingine cha suma jkt kitazalisha tractors elf tatu kwa mawaka jumla elf 6000........ na kitakua kiwanda cha kipekee africa kuzalisha fire fighting trucks 100 per year
Screenshot_20170621-150845.png
 
Back
Top Bottom