The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Asante sn, kwahyo hii cactus unachanganya na nn, unaiponda ponda au unatumia mzizi wake?View attachment 1616250
Aliyoiongelea boss mulisaaa hapo awali ni aina ya mkonge (Cactus) ila dawa hiz pia unaweza kupata kutoka kwenye aina fulani ya uyoga.
kama utakamua maji yake, kumpa jamaa yenu hakikisheni hajanywa pombe wala dawa zozote, kwa angalau siku tatu. Kwasababu maji hayo yanaweza kuchanganyika na dawa/pombe na kutengeneza sumu. Pia angalieni hali yake kiafya kama anaugonjwa wa moyo, kisukari, figo na ini msimpe mpaka mumuone daktari.
Lilikuwa pambano zuri sana, jamaa nilikuwa cjawahi kumuangalia kumbe yupo na ana body nzr akipata training ya kutosha atafika mbali.Ni muda muafaka wa kuongeza uwekezaji kwenye mabondia wetu Tanzania.
Unatengeneza sharubati ya cactus yenyewe na kunywa (huhitaji kuchanganya na kitu). Unaweza kuweka kwenye blenda au ukaipondapona na kuchuja maji vyake.Asante sn, kwahyo hii cactus unachanganya na nn, unaiponda ponda au unatumia mzizi wake?
Thanks a lot, so ni cactus hz hz ambazo hata majumbani tumezipanda au mpk tutafute zilizoota misituni?Unakamua maji ya cactus yenyewe na kunywa (huhitaji kuchanganya na kitu). Mulisaa hapo juu amesema yeye aliambiwa achanganye na pombe (kama anataka kuacha pombe). Ila kiukweli hiyo ilikuwa ni janja tuu ya sharman wake (mganga) ku legitimise utabibu wake, huhitaji kuchanganya na kitu.
Kama utaijaribu kaka, anza na robo kikombe halafu isikilizie kama dakika 45 hivi, kama huoni effect ndio uongeze iwe nusu na zaidi. Hii itakusaidia kupunguza overdose. Kuwa karibu na mtu unayemwamini kwa kuwa kila "safari" inavimbwanga vyake, dawa inaweza kukukumbusha mambo mabaya yaliyokutokea na ukataka kujidhuru.
Pia cwezi kuongeza maji ili kupata maji yake kiurahisi? Maswali yng ni hayo tu mkuu, thnx in advance.Thanks a lot, so ni cactus hz hz ambazo hata majumbani tumezipanda au mpk tutafute zilizoota misituni?
Thanks a lot, so ni cactus hz hz ambazo hata majumbani tumezipanda au mpk tutafute zilizoota misituni?
Kuna watu wanasubiria vikwazo.wachina hawana mambo mengi [emoji23][emoji23]
Shukran sana nimeelewa.
Chung ching ashukuriwe sanaHii Expressway itakuwa na interchanges nyingi kuliko Tanzania yote
Kwani yule mlevi kunyatta amejenga!?!Wabongo mbna magufuli jembe hajajenga expressway
Hii picha ilipigwa akiwa kenya ila kama kawaida yao Nyanga'u kwa kuwa Magu ana-trend wamekuwa wakiitumia sana ili kujipatia ujiko, hasa kwa watu wasiomjua.
Kuweka maji utakuwa umei-dilute ila kama unaona chungu badala ya kunywa robo kikombe unaweza kuongeza maji iwe nusu kikombe. Effect yake itakuwa ile ile kwa kuwa mwili utachuja ile 1/4 ya maji na kutoka kama mkojo na ile 1/4 ya dawa itakuwa absorbed mwilini.Pia cwezi kuongeza maji ili kupata maji yake kiurahisi? Maswali yng ni hayo tu mkuu, thnx in advance.
SO, hii ni kwaajili ya walevi tu au?Kuweka maji utakuwa umei-dilute ila kama unaona chungu badala ya kunywa robo kikombe unaweza kuongeza maji iwe nusu kikombe. Effect yake itakuwa ile ile kwa kuwa mwili utachuja ile 1/4 ya maji na kutoka kama mkojo na ile 1/4 ya dawa itakuwa absorbed mwilini.
Hapana, ni kwa mtu yeyote anayetaka kuusafisha ubongo.SO, hii ni kwaajili ya walevi tu au?
Kuna watu wanasubiria vikwazo.