Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,211
- 107,813
Rafiki mzima?Tony254, hakuna siku mkenya atamjali mtanzania na kinyume chake pia ni sawa. Wakenya wengi wanaomba mambo mabaya yatokee Tanzania katika huu uchaguzi ili wajaze mitandao ya kijamii kwa furaha na kusherehekea.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nipo gado ninasubiri kusikiliza "Confirmation" ya above 80% ya kiboko ya wakenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki mzima?
Ataenda speed ya 12 G maana timetable ipo tight from November!Nipo gado ninasubiri kusikiliza "Confirmation" ya above 80% ya kiboko ya wakenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hiki kipindi chake cha mwisho ndio atafanya maajabu, kwasababu miradi mingi ya msingi lazima imalizike kipindi hikiAtaenda speed ya 12 G maana timetable ipo tight from November!
Nipo shughuli mkuu..Natumai unanielewa😉😉😉 Magufuli hoyee!
Kumbe ndio unajua mwaka huu? Let me share with you the full version:Bro bado uko kwa mashindano ya Kenya vs Tanzania? LET ME EDUCATE YOU A BIT BRO.
🙂 😀 Kwenye picha la kutisha linaanza kwa maadui yanaposhangilia na kuishia kwa upande wa starring kushindaMtumba ipi? Chagua kati ya hizi mbili
Tanzania
View attachment 1613937
Kenya
View attachment 1613938
Mnatujali? Unajua maana ya kujali?Kwa hivyo tukiwajali mnasema sisi tupo desparate. Tukiwahujumu mnasema sisi tuna roho mbaya? Sasa mnataka tufanyeje?
Media ya Kenya ni Kenyacentric. Yaani huwa inaripoti habari za Kenya sana na kupuuza habari za jirani. Halafu zinapenda kuripoti negative news zinazofanyika Kenya hata kushinda positive news. Waelewe tu. Huwa wanaripoti habari za jirani ikiwa ni habari mbovu. Hio ni hali ya biashara usijali.Mnatujali wapi angalia negativity yenyu juu yetu wakati hamna uhakika kama 2022 mtapita salama! Juzi a top 5 largest oil company in the World Total ime-sign pipeline deal na Tanzania Arusha just to demonstrate the confidence the giant company has on Tanzania! Guess what hamna media ya Kenya imeripoti!
Hii stage ishapita, ila mpo busy kupotosha 👇
He adds that the parties need to do intensive work to ensure the respective laws for both the Uganda and Tanzania HGAs are harmonised, as well as to complete discussions on shareholder agreements and tariff and transportation agreement for Eacop.
Oil firms, Uganda sweating out pending issues on Tullow sale
Energy Minister Mary Goretti Kitutu gave the approvals on Wednesday, October 21 – marking Tullow’s exit from Uganda’s oil sector since 2004.www.theeastafrican.co.ke
That's outdated reporting n u can't tell me Nationmedia that is a parent of the Citizen and the Monitor is not aware that Total has already signed HGA 2 days back! U people r hurting the fact Total has signed a deal during election week a thing that can never happen in Kenya! U r Kenyacentric and yet u r the ones all over Al Jazeera and ur media distorting what's happening on the ground!Media ya Kenya ni Kenyacentric. Yaani huwa inaripoti habari za Kenya sana na kupuuza habari za jirani. Halafu zinapenda kuripoti negative news zinazofanyika Kenya hata kushinda positive news. Waelewe tu. Huwa wanaripoti habari za jirani ikiwa ni habari mbovu. Hio ni hali ya biashara usijali.
Na wameshaanza kusheherekea, ukisoma tweets zao niTony254, hakuna siku mkenya atamjali mtanzania na kinyume chake pia ni sawa. Wakenya wengi wanaomba mambo mabaya yatokee Tanzania katika huu uchaguzi ili wajaze mitandao ya kijamii kwa furaha na kusherehekea.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hilo deni halilipwi na serikali ya Kenya bali linakuwa subtracted from oil revenue wakati production itakapoanza. Hakuna mahali GOK itatoa pesa yake na kuilipa Tullow. GoK ikishakubaliana na Tullow kuhusu cost of the project basi Tullow itaideduct from revenues. Sasa hakuna deni in a direct way hapo. Hivyo ndivyo nilivyoelewa mwandishi kamaanisha.
Kenya Tullow Oil Total
Matt Smith
19 October 2020
Share
Forward article link
Share PDF with colleagues
Tullow seeks state agreement on Turkana costs
The project has resumed after a five-month halt, but doubts are growing over its future
Tullow Oil’s longstanding ambition to sell part of its stake in Kenya’s much-delayed Turkana crude project may depend on the Anglo-Irish firm agreeing state compensation for its development costs.
Kenya’s Turkana oil reserves, discovered in 2012, are estimated at 560mn bl. Tullow owns 50pc of the project, while its partners, Canada’s Africa Oil Corp. and Total, each hold 25pc.
A top Tullow executive told Petroleum Economist last year that FID would likely happen in the second half of 2020, having signed heads of terms with Kenya last June, but this year’s oil price slump has again placed the project in doubt.
“I do not know how long the audit process will take. We need a viable project first”, Tullow
In August, Tullow and its partners withdrew a force majeure notice, declared in May, as Covid-19 restrictions eased and the government confirmed tax incentives would continue to apply.
Tullow described as “ludicrous” a Kenyan newspaper report claiming it had asked for KES204bn ($1.88bn) in compensation from Kenya’s government in lieu of exploration costs incurred from 2012 onwards.
“We have submitted our expenditure for audit ahead of cost recovery as and when production starts, but clearly we only recover our costs from production as per [the] licence,” says Tullow.
On the government response to its submission, the company says: “We are going through a process—an entirely normal process that happens in all oil producing countries—to agree what costs are covered.”
Tullow expects to reach an agreement with the Kenyan government, adding “the joint venture has spent circa $2bn in Kenya since 2011. We would look to recover a considerable part of that plus development costs as part of cost recovery. I do not know how long the audit process will take. We need a viable project first.”
Test case
These negotiations will be the first significant test for Kenya’s 2019 petroleum and energy bill as well as the authority and capacity of the fledgling energy regulator, says Edward Hobey-Hamsher, a senior analyst at consultancy Verisk Maplecroft's Africa Risk Insights team.
“If the two parties cannot agree, the base-case scenario is that Tullow seeks international arbitration, a right enshrined in the petroleum act,” he says.
“A lengthy drawn-out case would re-establish perceptions of Kenya prior to the legislative reforms as a frontier market unprepared for IOCs engaged in latter-stage exploration and production. It would also hasten the planned divestments and farm-downs of Tullow and Total, while deterring new market entrants.”
$895mn – Drop in value of Tullow Kenyan assets
The lack of export infrastructure remains the biggest challenge to the Turkana project, according to Hobey-Hamsher, with Turkana’s oil slated to be transported from the 4.33km2 oil production and processing facility to Lamu port in northern Kenya via an 820km, $1.1bn pipeline.
The pipeline’s route and capacity has still to be agreed, and the connection is unlikely to be commissioned before 2027, consultancy Wood Mackenzie estimates. Tullow had hoped to complete it in 2023.
The company, which in its half-year results slashed the value of its Kenyan assets to $295.4mn from $1.19bn a year earlier, has suspended plans to sell a 15-20pc stake in Turkana “pending a comprehensive review … to ensure it continues to be robust at low oil prices, and also consider the strategic alternatives for the asset”.
Tullow has also delayed FID.
Total to exit?
Total, which did not respond to requests for comment, has refused to commit its share of the Turkana budget for the 2020 financial year, according to Kenyan media. The French major has also threatened to quit Kenya, Africa Intelligence reports, citing a company letter to Kenya’s petroleum secretary.
“Total and Tullow want to at least farm-down their Kenyan interests, which is not the greatest signal,” says Conor Ward, an upstream analyst at research and consulting firm GlobalData Energy. “Total is the largest, most stable of the partners, so if they farm out completely then this project will likely face increased financing hurdles."
FID is now likely in 2022, according to both Hobey-Hamsher and Ward.
“From our valuations, this is quite a good project,” adds Ward. “If oil prices return to 2019 levels next year, they should attract some more interest from other companies.”
Tullow seeks state agreement on Turkana costs
The project has resumed after a five-month halt, but doubts are growing over its futurewww.petroleum-economist.com
MY TAKE
Kuna nchi inachezwa hapa baada ya Total executives kuwa part of decision board on Lokichar-Lamu pipeline saahii GoK ina deni la kuilipa Tullow Kenya halafu Total inakataa ku-commit kwenye mradi!
CC: Tony254
Inareport fake news sababu ninyi ni sadist kwa maendeleo ya Tanzania, mbona msiwe active na Uganda, Somalia, Sudan, Ethiopia kama mlivyo busy na Tanzania?Media ya Kenya ni Kenyacentric. Yaani huwa inaripoti habari za Kenya sana na kupuuza habari za jirani. Halafu zinapenda kuripoti negative news zinazofanyika Kenya hata kushinda positive news. Waelewe tu. Huwa wanaripoti habari za jirani ikiwa ni habari mbovu. Hio ni hali ya biashara usijali.
Tullow imesema kuna mazungumzo inakaa kuna amount GoK ought to pay Tullow! BTW that's not a big deal a solution can be worked out, maneno ipo hapa 👇Hilo deni halilipwi na serikali ya Kenya bali linakuwa subtracted from oil revenue wakati production itakapoanza. Hakuna mahali GOK itatoa pesa yake na kuilipa Tullow. GoK ikishakubaliana na Tullow kuhusu cost of the project basi Tullow itaideduct from revenues. Sasa hakuna deni in a direct way hapo. Hivyo ndivyo nilivyoelewa mwandishi kamaanisha.
That deal will never be reported in Kenyan media. Pengine mkilaunch rocket kuelekea kwenye mwezi ndio media ya Kenya itazinduka usingizini na kuripoti hilo. Media ya Kenya inapenda negative news sana. Sasa information kuhusu progress ya Lamu port au Nairobi Expressway au Konza city au Tatu city tunastahili kuipata kutoka Kenyan media lakini wao wanashughulika na siasa tu. Section ya siasa ni 70% ya news, section ya sports ni 20% na section ya business and economics ( ambayo huwa naipenda sana) inapewa 10% ya news na kama wana haraka hata business hailetwi. Yaani inabidi tufuate independent journalists kama Alex Chamwada na bloggers kama The African Traveller ili tujue progress ya projects hapa Kenya. Inabidi tufuate twitter handles za wafanyikazi wa serikali ili tujue progress imefikia wapi. Media zetu ni bure kabisa katika kutuletea progress ya miradi mbali mbali hapa Kenya sembuse miradi za Tanzania? Wacha kuota Geza. Siasa inayofanyika mahali popote Afrika wataripoti maana wanapenda sana siasa. Wataripoti uchaguzi wenu na wa Uganda na wa Congo. Wanapenda sana mambo ya uchaguzi hapa Afrika. Hata leo saa moja usiku tune in kwa media yoyote ya Kenya (Citizen, Ntv au Ktn) nakuhakikishia kuwa uchaguzi wa Tanzania ndio itakuwa habari ya Kwanza kwa media zote tatu.That's outdated reporting n u can't tell me Nationmedia that is a parent of the Citizen and the Monitor is not aware that Total has already signed HGA 2 days back! U people r hurting the fact Total has signed a deal during election week a thing that can never happen in Kenya!