Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,227
- 107,854
Nani ana 5 mln inhabitants? Nairobi haijafika 5 mln inhabitants!Achana na mambo za ikikamilika kwani hujui kama brt phas 2 iko under constrcn na phase3 tender ishatangazwa na mbagala kuna popln kubwa sana pamoja na gongolamboto so kama zikikamilika tunaweza kupata mpka 1m per day but kumbuka pia tuna commuter rail ambayo inaproject kutransport 700k per day baada ya kukamilika izo route watazoongeza. Na unajua dar inakadiriwa kuwa na population ya 10m by 2030 so kwa populatn iyo kuwa na watu 3m-4m per day barabarani sio ajabu sasa nyie mna 5m na 2030 mtakua 7m hao watu 1.5m kweny train kilasiku watatoka wapi?
Hivi Magufuli anapiwapigia kelele TPDC anaposema ujenzi wa kiwanda cha LNG umechelewa sana kuanza kwasababu feasibility study ineshafanyika, ana maana gani wakati hata tender haijatangazwa?Ila nawe joto ya joto la jiwe unapotosha project huwa na phases na usually construction inaanza baada ya tender issuance to a constructor ambayo ina-include 6 months of mobilization! Bado contractor wa pipeline hajatangazwa! na hawezi kutangazwa kabla ya FID! Ninaamini some Chinese company will build the pipeline!
mzee unataka nikupe lecture ya project management tena? Make use of internet kuona several stages kabla ya kutangaza mkandarasi na huwezi kutangaza mkandarasi kabla ya kufanya FID! Kuna several preliminary stages, lugha ya kisiasa isikuchanganye! BTW feasibility study ni early stages za any Project!Hivi Magufuli anapiwapigia kelele TPDC anaposema ujenzi wa kiwanda cha LNG umechelewa sana kuanza kwasababu feasibility study ineshafanyika, ana maana gani wakati hata tender haijatangazwa?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unaona sasa hapo ndo wanawaza kufika 1m kwenye train pekee. Wakisema capacity itakua 1m sawa. Ila abiria kufika uko wazaane kwanza waongezeke.Nani ana 5 mln inhabitants? Nairobi haijafika 5 mln inhabitants!
Kwa route moja 1 mln PAX si rahisi! Labda iwe India!Unaona sasa hapo ndo wanawaza kufika 1m kwenye train pekee. Wakisema capacity itakua 1m sawa. Ila abiria kufika uko wazaane kwanza waongezeke.
Mm mwenyewe ananishangaza sn cku hz, na ndiyo maana ameamua kutumia avatar ya Magu cz anamkubali sn Magu, af mwaswast huwa anakubali japo kishingo upande [emoji3][emoji3][emoji3]Ila mwaswast ama kwa hakika tumekunyoosha kama rula, hivi ni wewe yule ama ninaota?
Watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele sababu harakati zetu za kuwafungua macho wakenya zimeanza kuzaa matunda, mwaswast ni mmoja tu aliekiri wazi, wapo wengine wanagugumia rohoni na wengine wamehama kabisa jukwaa
Ama kwa hakika wakenya mambo bado, yajayo yanafurahisha zaidi [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwaswast ni wewe uliekua ukihitaji kilometres 1 tu ya SGR? Dunia inaenda kasi sana [emoji28][emoji28][emoji28]
Wanajua sn wala wasikusumbue [emoji3][emoji3][emoji3]Sasaivi naona komora096 na TYWIN LANNISTER na Yosef Festo ndo bado hawajajua ukweli they still sturbon against truth but i believe truth always prevail its matter of time.
ichoboy01 msikie huyu [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3] naomba umuwekee picha tafadhali, hahahaaa nmepita juzi yn ujenzi upo moto mby, cc huwa hatubabaishi [emoji3][emoji3]Muendele kuplan wakati brt phase 2 imewashinda
Tueneze upendo sio chuki sisi mandugu.Aliekuibia password nitamreport police cyber crime department 😅😅😅
Kwn kuna chuki hapa mwaswast? Bali tunawaonesha vile mlikuwa na negative visualization over us, ss nadhani mmeshajua ukweli so we can start partnering from there.Tueneze upendo sio chuki sisi mandugu.
@Geza UloleSasa umeshasema feasibility Study ni early stage of Project, vipi tena hutaki kuhesabu muda wake kama sehemu ya project?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mimi nilichosema any project ina stages na mara nyingi preliminary have to cleared before the next na nikasema contractor wa EACOP bado hajapatikana na atapatikana baada ya FID!
Ww acha kuongea km unatoka chooni , kama hujui kitu uliza usijifanye mjuaji ..nenda kacheze uko ushago kwenuMuendele kuplan wakati brt phase 2 imewashinda
Muendele kuplan wakati brt phase 2 imewashinda
Muendele kuplan wakati brt phase 2 imewashinda
Kama unazungumzi ujenzi kama "construction" kama sehemu ya project nzima, hapo ni sahihi kuanzia contractor anapopatikana, lakini tukizungumzia neno " Mradi wa ujenzi wa Bomba la mafuta", basi lazima unaanzia mwanzo ikiwemo feasibility study.Mimi nilichosema any project ina stages na mara nyingi preliminary have to cleared before the next na nikasema contractor wa EACOP bado hajapatikana na atapatikana baada ya FID!