Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi hatuna haja na South Sudan. Hata ninyi mkiitaka mnaweza kuichukua hio market. Lakini Uganda hatuiwachi hivi hivi tu. Lazima tutapambana ili tujue nani ndio ndume kati ya Kenya na Tanzania.
 
Sisi hatuna haja na South Sudan. Hata ninyi mkiitaka mnaweza kuichukua hio market. Lakini Uganda hatuiwachi hivi hivi tu. Lazima tutapambana ili tujue nani ndio ndume kati ya Kenya na Tanzania.
Kitendo cha kupoteza bomba la Uganda, na kushindwa kufikisha SGR yenu hadi Malaba, hiyo tayari mumeshajihakikishia kushindwa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sisi hatujagoma kununua gesi yenu. Nyie jengeni pipeline, sisi tutaunga tu.
Apana sio kiraisi hivyo, labda tukae mezani tujadili na kutafuta vyanzo vitakavyo tumika kufinance the entire project together ...msije badili gia angani
 
Apana sio kiraisi hivyo, labda tukae mezani tujadili na kutafuta vyanzo vitakavyo tumika kufinance the entire project together ...msije badili gia angani
Tutawaacha kwnz wao wajenge af ndiyo cc tumalizie la cvyo itakula kwetu, jamaa wasanii sn na nchi yao inaendeshwa kisanii na ndiyo maana inaitwa failed state.
 
Uganda watawapita kwenye GDP miaka kumi baada ya kuanza kuexport mafuta.
Ilo sahau , sababu kwanz katika kila income watakayo generate tutapata percentage ukiachia hio haitakiwi soko la mafuta kuyumba , pia tupo na miradi ya nguv mfano LNG, MCHUCHUMA NA LIGANGA, na mingine mingi inayo tuakikishia infinity growth, na ndio kitu hata nyie mnaogopa sana toka Tz, mnajua fika mda wowote mtachukua nafasi yenu ....
 
Na wenu je?😂😂😂😂 nyie ndio mnazaa masikini wengi wakutupwa ukanda huu😂😂 and gdp is good, economic output ya nchi, it reflects a country's progress! Umasikini in capitalist countries kwa asili mia kubwa ni mtu binafsi kujitakia! 😂😂 kwenu uzembe umechangia mno ukiongezea uchumi hafifu.
 
Onesha picha km hii Tz ili tujue umuhimu wa gdp kubwa na ukikosa kaa kimya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Tatizo kubwa la Nigeria ni corruption. Uganda sidhani kama wana corruption kiasi hicho. Lazima mizigo zitafikia wananchi.
Nyie watu wa chapchap Early Oil Pilot Scheme imeishia wapi? Lokichar-Lamu pipeline? LAPSSET ? Kisumu port?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…