komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ulisemaje kwanza, ajali huaga zimefanywaje vile before zitokeejibu swali kwanza


Ulisemaje kwanza, ajali huaga zimefanywaje vile before zitokeejibu swali kwanza


Asante kw maoniHii level yake ni machinga complex![]()
Bwahahahaaa!!kanwe maji upumzike mjomba huenda hayo maumivu yatapunguaMnenguaji baba yako.
soma walipoanzia alaf uje ujibu swaliUlisemaje kwanza, ajali huaga zimefanywaje vile before zitokee![]()
Wakunya with their desperationnow claiming MGR rehabilitation to be SGR!



Subiri wajipe matumaini ili ITX ikishuka wakajifiche chooni Cha ajabu hii yetu MGR inafanana na yao SGR!Subiri wajipe matumaini ili ITX ikishuka wakajifiche chooni
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa watachanganyikiwa wakiona trains zetu za SGR. Jambo la kushangaza kwa wakenya ni kwamba, hata kama serikali yao imefanya vibaya lakini kama Tanzania imefanya vibaya zaidi yao, wao kwao hawaoni kwamba kunatatizo.Cha ajabu hii yetu MGR inafanana na yao SGR!
Sasa mbona kashidwa kudisgn za Kenya ziwe na mvuto au Kenya pesa kidogo?Eti nini? TPA tower yenu inayopendeza kweli imedesigniwa na Mkenya. Hata jengo la bunge lenu limedesigniwa na huyo huyo architect Mkenya anayeitwa James Kimathi. Sasa unaturingia TPA tower ilhali imechorwa na Mkenya? Mbona hamgechora wenyewe?
Soma hapa
![]()
James Kimathi | BUILDesign
“A building that does not recognize the cultural context and existing forms is a disservice and a stranger to the surrounding community.” James Kimathi -buildesign.co.ke
CC: Tony254Hawa jamaa watachanganyikiwa wakiona trains zetu za SGR. Jambo la kushangaza kwa wakenya ni kwamba, hata kama serikali yao imefanya vibaya lakini kama Tanzania imefanya vibaya zaidi yao, wao kwao hawaoni kwamba kunatatizo.
Ukweli ni kwamba trains zao ni hovyo na ni model ya kizamani sana, hata kama tutanunua mbaya na za zamani kuliko hizo zakwao, hiyo haitozifanya trains zao kuwa "classic".
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ndio walichobaki kujivuniaSasa mbona kashidwa kudisgn za Kenya ziwe na mvuto au Kenya pesa kidogo?
Wakenya wakionaga hii huwa wanapagawa kweli kweli wanajua kimeshanuka



Una drag vitu sana km ni ishu ya kutoke upande wa south..soma walipoanzia alaf uje ujibu swali
@Tony254
Wakunya with their desperationnow claiming MGR rehabilitation to be SGR!
Mkuu uki mention mtu km jina la unaye mmention ndo linaanza inabd u press space then ndo una mention ila ucpo press space haikubali cjui kwnn ila hata mm ilikuwa inanitokea hyo ndo nikagundua hivyo

