TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Hatuna?? WaooHiyo Aswan dam itapata maji toka wapi kama Ethiopia wataendelea kujaza hilo bwawa lao?.
Kuhusu Ethiopia kulishambulia Aswan dam, Ethiopia haina uwezo wa kupiga sehemu yoyote ndani ya Egypt, ni sawa na kusema Tanzania tuna uwezo wa kulipua Victoria Falls, hatuna ndege wala Ballistic missiles zenye uwezo za kufika huko.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
We babaikia wanaume tu, utalaliwa we bwege..Wanadhani ww ni muarabu, wanababaika na rangi hawajui kwamba originality ya mtu ni pale alipozaliwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ichoboy unaniudhi, chukua huyu mtoto [emoji3][emoji3]
Huyu koro ni mjinga. Huwa nashangaa sana mtu anapojibizana naye.Ni upumbavu ku battle na kimji cha 300 square kilometers thidi ya 10,000 square kilometres
Wastage of time kabisa 🚮🚮🚮
Trump anaropoka aiseh..
Wewe ni pimbi kumbe Kwani yeye kuchora ndio kunabadili nn?Eti nini? TPA tower yenu inayopendeza kweli imedesigniwa na Mkenya. Hata jengo la bunge lenu limedesigniwa na huyo huyo architect Mkenya anayeitwa James Kimathi. Sasa unaturingia TPA tower ilhali imechorwa na Mkenya? Mbona hamgechora wenyewe?
Soma hapa
James Kimathi | BUILDesign
“A building that does not recognize the cultural context and existing forms is a disservice and a stranger to the surrounding community.” James Kimathi -buildesign.co.ke
mwenzako kakimbia unakuja wewe😂😂😂👇👇👇👇👇👇Si uweke kila kitu pia ya hapo mwanza bas tuone ka itaweza Mombasa
anza na capripoint kwanza 😂😂👇👇
View attachment 1611871
ukiskia capripoint ni fire👇👇👇
angalia nyumba zilivotundikwa juu ya milima alaf ndio uongee sasaView attachment 1611911View attachment 1611912
huku tunapaita isamilo👇👇👇
View attachment 1611894
airport way 👇👇👇👇
View attachment 1611890
hapa panitwa nera mwanza way to kirumba👇👇👇👇
View attachment 1611881
hutaskia anaitaja tena mwanza 😂😂😂kaomba po!
one pic is enough kila siku mm nawaambia humu 😂😂😂👇👇👇👇
this is what ur posting pamoja na filter laki moja lakini mambo ni haya😂😂😂👇👇
na marina hotel iko ndani 😂😂😂👏
hii hutaki👇👇👇👇Hii nayo iko safi,but sikuwa nalinganisha na buildings za Dar ni Mombasa vs mwanza
Hahaha,hi ni jiji,unaona uswazi wapi hapothis is what ur posting pamoja na filter laki moja lakini mambo ni haya😂😂😂👇👇
View attachment 1612261
I knew utaleta hii,kuficha haya,lakini Mombasa ni baba yaoone pic is enough kila siku mm nawaambia humu 😂😂😂👇👇👇👇
View attachment 1612260
Yah marina iko Mombasa haiko Darna marina hotel iko ndani 😂😂😂👏
nimecheka sana 😂😂😂😂Hahaha,hi ni jiji,unaona uswazi wapi hapo
so gorofa moja tu unapost kweli??😂😂
@komora096 ndiyo master wa chochoro za kiberaHuyu koro ni mjinga. Huwa nashangaa sana mtu anapojibizana naye.
She is a stupid woman, ambaye hajawahi kwenda sehemu yoyote tofauti na kibera.