Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Icho jamani, kweli unajua tofauti ya nyali constituency na nyali..
Ndio nimekwambia acha ujuaji mombasa huijui, marina ni ukivuka bridge tu kw sisi watu wa kisiwani..

Hata soko la kongowea lipo nyali lkn sokoni sio nyali[emoji23][emoji23]
kwamba nyali hakuna hotels πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

31D4F75D-E96F-44A9-9735-5E4162542C89.jpeg
 
Naona umeanza kutengua kauli yako sasa, si wewe uliyesma km nyali kumejaa matajiri na hotel za watalii[emoji23][emoji23][emoji23]
mm nasema nyali hoteli nyingi ni za watalii na nyumba nyingi ni za matajiri wa mombasa full stop 😁😁😁😁
 
so nyali road sio nyali ni wapi???[emoji1][emoji1]
Kw taarifa yako mpka sehemu flani za bamburi ni nyali, lkn hakuna siku utaskia hta siku moja pakiitwa nyali..

Mombasa mtu ukimtajia nyali hatowaza maeneo yale ya marina[emoji23][emoji23][emoji23]
Icho bana
 
mm nasema nyali hoteli nyingi ni za watalii na nyumba nyingi ni za matajiri wa mombasa full stop [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tuletee hzo hoteli nyingi za watalii hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kw taarifa yako mpka sehemu flani za bamburi ni nyali, lkn hakuna siku utaskia hta siku moja pakiitwa nyali..

Mombasa mtu ukimtajia nyali hatowaza maeneo yale ya marina[emoji23][emoji23][emoji23]
Icho bana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
B32A57F8-0CF8-4D33-8AC3-95AFA0591B32.jpeg
 
mm nasema nyali hoteli nyingi ni za watalii na nyumba nyingi ni za matajiri wa mombasa full stop [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kw taarifa yako hoteli nyingi za watalii mombasa hazipatikani nyali na wala matajiri wa mombasa hawaishi nyali..

Wanaoishi hata hawana utajiri wowote wa kuwashtua wale vigogo wa mombasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1611982
Pale pale kwangu kabisa..nyali ni subcounty...
Na nyali km subcounty ina hoteli za kifahari...

Ila nyali beach hotel ndio hoteli amabyo ipo nyali, tena karibu na beach kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huwezi nambia mm km sarova ni nyali ila ipo nyali sub county..
Upo mnenguaji
 
Kw taarifa yako hoteli nyingi za watalii mombasa hazipatikani nyali na wala matajiri wa mombasa hawaishi nyali..

Wanaoishi hata hawana utajiri wowote wa kuwashtua wale vigogo wa mombasa
matajiri wa mombasa wanaishi wapi???πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pale pale kwangu kabisa..nyali ni subcounty...
Na nyali km subcounty ina hoteli za kifahari...

Ila nyali beach hotel ndio hoteli amabyo ipo nyali, tena karibu na beach kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huwezi nambia mm km sarova ni nyali ila ipo nyali sub county..
Upo mnenguaji
so kumbe zipo nyali subcounty sasa tunabishana nn nikikwambia matajiri wa mombasa wanaishi nyali na hotel nyingi za watalii zinapatikana nyaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom