Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba nzuri sana hzo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Residentials hzo[emoji23][emoji23][emoji23]
Zinakusumbuaga mpka unaamua kupoteza mda ku zoom[emoji23][emoji23]
Komora hebu kuwa serious ata kdg bhn huu ni ushuzi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahiyo ulitaka Egypt ifanyeje kama Ethiopia imeamua kujaza bwawa kabla ya makubaliano hayajafikiwa?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo hii picha ya Mombasa eti walikuwa wanalinganisha na kkoo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Narudia tena, ile siku utaleta residential kw ukubwa huo tanzania nzima na log off jf...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo ulitaka Egypt ifanyeje kama Ethiopia imeamua kujaza bwawa kabla ya makubaliano hayajafikiwa?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sijui Egypt ilitakiwa ifanye nini. Ila ninachojua ni kuwa jirani yako hawezi kukupiga ngumi ya kisogo na wewe uanze kucheka na yeye. Egypt wakiamua kulipua bwawa basi kisheria Ethiopia wana haki ya kulipiza mapigo. Sidhani kama unafahamu umuhimu wa Aswan HIgh dam kwa uchumi wa Egypt na jinsi itaumiza Egypt ikilipuliwa na Ethiopia in a retaliatory strike. Aswan ina umuhimu mkubwa sana kwa Egypt kwa sababu inatumika kuregulate flow of water in the Nile wakati wa kiangazi. Wakati kuna kiangazi Egypt, maji yaliyohifadhiwa ndani ya Aswan high dam huwa yanakuwa released kidogo kidogo ili kukidhi mahitaji ya Egypt kwenye irrigation na domestic use. Bila Aswan high dam, maji katika Nile upande wa Egypt utakuwa chini sana wakati wa Kiangazi na watu watakosa maji kwa matumizi mbalimbali. Hii dam ina act kama valve ya kurelease maji polepole wakati wa kiangazi na kuzuia famine na drought. Egypt sio wajinga. Wanajua fika kuwa wakibomb dam ya Ethiopia, basi dam yao pia itabombiwa.
 
Nyumba nzuri sana hzo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Residentials hzo[emoji23][emoji23][emoji23]
Zinakusumbuaga mpka unaamua kupoteza mda ku zoom[emoji23][emoji23]
hzi au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Leta your best kutoka mwanza, arusha, dodoma nikuletee ya kawaida mombasa[emoji23][emoji23]
mm nilishakupa ya mwanza mpaka leo sijapata majibu mwenzio alikimbia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama hujui Egypt ifanye nini katika hili, sasa mbona unapinga pale Egypt pamoja na USA wakikubaliana kwamba njia pekee ilitobaki ni kulishambulia hilo bwawa?. Wewe na viongozi wa Egypt yupi anajua zaidi umuhimi na hasara za kulipua hilo bwawa?.

Ukweli ni kwamba, there ia no life in Egypt without water from river Nile", hilo bwawa la Aswan huko Egypt linategemea maji ya mto Nile. Kwa kifupi ni kwamba, maji ya mto Nile is a matter of life and death for 90% of Egyotians. Kama Ethiopia itaendelea kujaza bila kufikia makubaliano, Egypt haina "option" isipokua ni kulipiga MABOMU.

Kama Abiy Ahmed ataamua kujibu mapigo kwa kuipiga Egypt badala ya kurudi katika meza ya mazungumzo, atakua ameisaidia Egypt kuichakaza Ethiopia na kuliharibu kabisa hilo bwawa kiasi kushindikana kabisa kufanyika ukarabati siku zijazo. Ni matumaini yangu kwamba Ethiopia itasalimu amri mapema na kurudi katika meza ya mazungumzo kabla ya kudhalilishwa katika vita ambavyo nafasi ya Ethiopia kushinda ni ndogo sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…