joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Mbona sources tofauti duniani zinazungumzia hli jambo?, ninakuletea sources tofauti kuthibitisha kwamba Opera news sio source mbaya.Ndo nakushangaa Opera news!
ningependa kujua gharama yake! ☝️ 😀 😀 🤷♂️ ☝️kama mtu anasema hii ni ultra moder business park hvi kweli mutasema bangi haivutwi 😂😂👇👇
View attachment 1611395View attachment 1611396View attachment 1611397View attachment 1611398View attachment 1611399View attachment 1611400View attachment 1611401
View attachment 1611403View attachment 1611404View attachment 1611402
Ndo nakushangaa Opera news!
Tony alisema namchonganisha na Wakenya wenzake hivyo akasema nikirudia tena atatoka Jf ss inawezekana amejipa likizo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
unaeza ambiwa 3b ksh 😂😂😂
Interest ipo mkuu sema haionekani kwa macho ya kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nadhani issue ya Ethiopia na Egypt tungewaachia wao. Tanzania haina interest na ugomvi wao.
ndo nachunguza hapa gharama ya mabanda haya ya nguruwe!unaeza ambiwa 3b ksh 😂😂😂
Nifumbue macho. Tanzania katika ugomvi huu tunapata faida ipi!?Interest ipo mkuu sema haionekani kwa macho ya kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna uzi aliniita mwenyewe lkn baada ya ku comment tu akasema namchonganisha na Wakenya wenzake hivyo akaniambia nikirudia tena anahama Jf ss mm wala ckumjibu cz ckutaka kuonekana 7bu ya yeye kuleft yn anataka kunifanya mm scapegoat wake[emoji3][emoji3][emoji3]hamuwezi muona kwasababu kashaamini kua bangi inavutwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Geza na Tony254Ndo nakushangaa Opera news!
Mkuu venus subiri kidogo jibu utalipata mkuu we kuwa na subira ila juwa kwmb interests zpo tena kubwa sana [emoji3][emoji3][emoji3]Nifumbue macho. Tanzania katika ugomvi huu tunapata faida ipi!?
Tanzania ni nchi inayotatua ugomvi na majirani kidiplomasia.
Mimi nadhani hawa Egypt na Ethiopia wamalize ugomvi wao kwa mazungumzo.Mkuu venus subiri kidogo jibu utalipata mkuu we kuwa na subira ila juwa kwmb interests zpo tena kubwa sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Tunakwenda kuitawala hii Afrika mashariki we subiri uone [emoji3][emoji3]Nifumbue macho. Tanzania katika ugomvi huu tunapata faida ipi!?
Tanzania ni nchi inayotatua ugomvi na majirani kidiplomasia.
Key word ni "market complex". Neno "business park" lisikuchanganye. Hili ni soko kama lenu la Kariokoo. Jifunze kusoma bila kukurupuka.kama mtu anasema hii ni ultra moder business park hvi kweli mutasema bangi haivutwi 😂😂👇👇
View attachment 1611395View attachment 1611396View attachment 1611397View attachment 1611398View attachment 1611399View attachment 1611400View attachment 1611401
View attachment 1611403View attachment 1611404View attachment 1611402
Haiwezi hata ikakaribia 1% ya kariakoo.Key word ni "market complex". Neno "business park" lisikuchanganye. Hiini soko kama yenu ya Kariokoo. Jifunze kusoma bila kukurupuka.
Cc Geza Ulole
Hv tonny umewahi kufika kkoo??Key word ni "market complex". Neno "business park" lisikuchanganye. Hiini soko kama yenu ya Kariokoo. Jifunze kusoma bila kukurupuka.
Cc Geza Ulole
ati Kariakoo? Kenya nzima haina soko modern kama Kariakoo pamoja na uchakavu wake!Key word ni "market complex". Neno "business park" lisikuchanganye. Hili ni soko kama lenu la Kariokoo. Jifunze kusoma bila kukurupuka.
Cc Geza Ulole
Hajakanyaga Tanzania huyo [emoji23][emoji23]Hv tonny umewahi kufika kkoo??