🙂 Hapa wafugie kuku tuuhiii ndio wanaita ultra modern uhuru business park in kenya
i think ni according to kenyan standards😂😂nimecheka sana walah aisee hawa watu wamelaaniwa
View attachment 1611157View attachment 1611158View attachment 1611159View attachment 1611160View attachment 1611161View attachment 1611162View attachment 1611163View attachment 1611164View attachment 1611165View attachment 1611166View attachment 1611167
🙂 Wacha utani
Usisahau mapichapichamim nipo pia leo [emoji23][emoji23]
Du!Mkuu, sio Trump atakayeshambulia, Egypt ndio itakayoshambulia, USA na nchi zingine za Europe zilishakubaliana na sababu za Egypt kushambulia na kutoa "go ahead" kutokana na kiburi cha Ethiopia.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Huyu joto la jiwe anapenda vita!😀 Game is on...
Ila mkuu nafikiri jambo lingine hapa ni Caucasian kutokubali sub-Saharan kuwa na mamlaka juu ya resource inayotegemewa na Caucasian. Wanadai hili bwawa litawapa Ethiopia control kubwaUkiufuatilia huu mgogoro ulivyo, hata AU pia itakubaliana na Egypt, Ethiopia waneonyesha Kiburi cha hali ya juu sana, ni sawa na Joyce Banda alivyotoa kibali kwa makampuni ya kutafuta gas duniani kuja kutafuta mafuta Mbamba bay na maeneo mengine ya Tanzania bila kutushirikisha akijua wazi kwamba mazungumzo ya upatanishi kati ya Tanzania na Malawi bado hayajafika mwisho.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
but i’m curious.. where did you get this?[emoji1]
Hili ni jambo la heri sana, napenda sana ziwa tanganyika naona linazidi kufunguka sasa, DRC kuna uchumi mkubwa sana na hiki pekee ndio kilikua kimekosekana
Is this trueeee???? Ooohhh God I thought apartheid kinda bullshit ziliishia South Africa ,, kumbe kwa jirani hapo juu haya mambo yapo daaa... SadKuna nchi hazijapata uhuru bado...yaani "Kenya not yet uhuru"
Hapana mkuu, katika hili tusiwe wabaguzi na ukweli usemwe. Ethiopia ni wakorofi sana na wabastahili kupata adhabu. Huu mto upo chini ya dhamana ya umoja wa mataifa kwa mujibu wa sheria za kimataifa zinazohusu umiliki na matumizi ya maji yanayohusisha nchi zaidi ya moja.Ila mkuu nafikiri jambo lingine hapa ni Caucasian kutokubali sub-Saharan kuwa na mamlaka juu ya resource inayotegemewa na Caucasian. Wanadai hili bwawa litawapa Ethiopia control kubwa
i hope u r not classifying Egyptians as caucasian! Mi nachojua vita ikizuka kati ya hawa jamaa ISIS wanapata makazi mapya EA!Ila mkuu nafikiri jambo lingine hapa ni Caucasian kutokubali sub-Saharan kuwa na mamlaka juu ya resource inayotegemewa na Caucasian. Wanadai hili bwawa litawapa Ethiopia control kubwa
Pamoja sana mkuu, unajua WaTz wengi walikuwa wanakerwa na ubinafsi wa viongozi mpk ikafikia hatua wakawa wanasema ni heri kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuwa mTz but nowadays mambo yamebadilika WaTz wengi wanapenda nchi yao naona wengine hususan kina dada culture mkononi zenye rangi ya Tz yn saafii kabisa, imeonekana kumbe hata bendera yetu ina rangi za kupendeza.ichoboy01 Naton Jr The best 007 Ntaghacha toptorn babayao255
Na wengine wengi
I really appreciate you guys Mungu awabariki Sana
Naipenda sana Nchi yangu Tanzania na naukubali Sana utendaji kaz wa Raisi MAGUFULI, Kwa pamoja Tujenge Mchicha yetu
Ndugu yangu frani alibahatika kuishi China ananiambia tangu akae kule hajawahi sikai Mchina analalamika juu ya Nchi yao They are so proud of their Country
One Love Brothers