TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
waliuwa wanajeshi pia fungua hyo link usomeWamevamia raia sio wanajeshi, sasa subiri muone umahiri wa JW. Sisi sio ninyi ambapo Alshabab wanaingia Kenya zaidi ya mara 100 sasa. Subiri utaona kama watagusa tena ardhi ya tanzania, tutawafuta katika uso wa dunia
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile ap
Tanzania najua vizuri sana kambi yenu ya jeshi mtwara ilivamiwa mkaficha habari πππtanzania huijui vzr wewe nyie malizaneni na alshabab naskia munatoa majeshi yenu huko mushapokea kibano zimewatosha sasa
Hawawezi uwa wanajeshi wa Tanzania, sio KDF hawa.waliuwa wanajeshi pia fungua hyo link usome
Mlicheka wakenya Sana
sisi sio waoga na hatukimbii kama nyieJina c shida Isis, alshabaab, al qaeda wote ni Magaidi na mlicheka Kenya Sana
Wacha tuone jinsi superpower Tanzania itapambana na magaidi
Hahahaha, akili zenu finyu ndio sababu kila kitu kinawashinda, sasa kama ugonjwa tumeushinda ndio tusichukue hatua ya kuhakikisha kwamba haurudi tena toka kwa majirani zetu ambao wameshindwa kuudhibiti kama Kenya?, lazima hatua zote za kudhibiti maambukizi ziendelee ili kuhakikisha hamtuambukizi CoronaTuko hapa hapa hata mm nataka muwashinde lkni hakuna nchi ambayo imeshinda ugaidi duniani
Ccm wamewaambia mumeshinda corona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na upande mwingine magufuli anaomba loan kudhibiti corona watanzania mtanimaliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
C mm ndio nimesema ni facts on the ground kuwa wanajeshi wa Tanzania walitimuliwa na MagaidiHawawezi uwa wanajeshi wa Tanzania, sio KDF hawa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nishasave usijalisisi sio waoga na hatukimbii kama nyie
kwetu ukifa unapambania nchi we ni shujaa
nmepoteza best friend akiwa front kupambania nchi "I wish I was there......
subirieni show ianze nakuhakikishia 6month to come hawatakuwapo wa kutishia usalama wa taifa langu tanzania
save this!!
Mumeshinda corona na munachukua mikopo kupambana na corona ww vipi πππHahahaha, akili zenu finyu ndio sababu kila kitu kinawashinda, sasa kama ugonjwa tumeushinda ndio tusichukue hatua ya kuhakikisha kwamba haurudi tena toka kwa majirani zetu ambao wameshindwa kuudhibiti kama Kenya?, lazima hatua zote za kudhibiti maambukizi ziendelee ili kuhakikisha hamtuambukizi Corona
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
na ntaendelea kuwacheka aiwezekan askar awakimbie wenzie au aibe mikateNishasave usijali
Wacha tutegea show
Mlicheka Kenya Sana
si kweli tofaut na vijiji ujue ni fake newsTanzania najua vizuri sana kambi yenu ya jeshi mtwara ilivamiwa mkaficha habari πππ
Cheka tu πππ ila saa hii wembe ni Ule Ulena ntaendelea kuwacheka aiwezekan askar awakimbie wenzie au aibe mikate
si kweli hakuna askar wa tz anae/atae kimbia pambanoC mm ndio nimesema ni facts on the ground kuwa wanajeshi wa Tanzania walitimuliwa na Magaidi
Nilitaka kusema hii video niliiona kipindi cha nyuma sana.
huijui tanzania wewe.....Cheka tu πππ ila saa hii wembe ni Ule Ule
Wanajeshi wa magufuli wanachinjwa na Magaidi wa msumbuji duh ππππ
Mnaficha habari munadhani dunia haitajua ππππ
huijui tanzania wewe.....
hata mambo ya usalama huyaelewi wewe.....
we baada ya miezi 6 njoo apa
can't share all I know ila trust me 'npo jikoni!!
by d way nkisema nkanyage baati mbaya nkulipue maksudi unanielewaje?
Cheka tu πππ ila saa hii wembe ni Ule Ulena ntaendelea kuwacheka aiwezekan askar awakimbie wenzie au aibe mikate
Hahahahaππππ hamuezi kubali najua hivyo wakati mwingine magaidi wakibisha tena mufiche habari vizuri πππsi kweli tofaut na vijiji ujue ni fake news
Nakumbuka watanzania hapa wakicheka wakenya wakati Magaidi walivamia Kenya Kweli mungu halali
Nitakua hapa baada ya miezi 6 kwa majiliwa ya maulanahuijui tanzania wewe.....
hata mambo ya usalama huyaelewi wewe.....
we baada ya miezi 6 njoo apa
can't share all I know ila trust me 'npo jikoni!!
by d way nkisema nkanyage baati mbaya nkulipue maksudi unanielewaje?