Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Emu rudia tena[emoji23][emoji23]marikiti ina nn na wakati huaga karibia kila weekend utakutana na wabongo kibao wamekuja kufanya shopping ya madera na leso..
We huijui mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]..

Eti marikiti kumejazana majumba ya udongo hata haya huna hata aibu jibaba lizima..
 
Hahaha blue towers ziko tatu tu Dar? Desperation izo sasa,Mombasa yote ni msasani peninsula pekee can't match even kariakoo and Upanga...Sasa mombasa ni kitu gani
Kariakoo ni nn bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kw old town haingii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wee nae wacha aibu ndogo ndogo, marikiti [emoji116][emoji116]
 
nyumba za udongo za miaka 100 iliopita na ina soko chafu kuliko chumba cha mvuta bangi nimerudia
 
Ni sawa na kukuta Toyota hiace inabeba abiria CBD Dar es salaam, kitu kiko outdated unang'ang'ania ndio maana ndege zinaanguka hivyo kenya. Kua updated . Achana na vitu vya zamani
Hata marekani bado ziko on service, au unabisha?
 
yani huko ukiskia ushuzi wa dunia nzima unapatikana marikiti na mwembe tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Vlog ya marikiti hyo hapo chini...
Utaambia nn watu jicho boy
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…