Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yameanza kuwatia hasara kutokana na gharama ya matengenezo kutokana na uchakavu
 
kama sio wazembe basi ni wajinga munaenda kuingia kwenye commercial loans kisa mzungu anataka ufate matakwa yao alaf leo unashangaa debt to gdp ratio imehara kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 1606292
Na bado! Tutaomba deni sababu sisi tuna uwezo wa kulipa. Sio kusamehewa deni kama nchi nyingine kanda hii ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kisha mbona mambo ya deni yanakukata matumbo namna hii? Utatusaidia kulipa? Wajukuu wako watalipa deni la Kenya? Pilipili usioila yakuwashia nini? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Yafanya kazi kama icd bado au sio๐Ÿ˜‚

Sasa door to door delivery ndiyo tunamalizia na rehab ya mgr zetu๐Ÿ™‹โ€โ™‚๏ธ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Hamna uwezo wa kulipa ndio sababu mchina alikataa kuwapa pesa, reli imeishia Porini
 
Hamuwezi kuweka umeme katika reli iliyoishia porini, malizeni deni ya mchina kwanza
Hahaha Hatuwezi uliskia wapi? Sisi hatukurupuki. Ni rahisi sana ku upgrade reli yetu to electric standards sababu KUU ni kuwa hii ni Chinese Class 1 standards. Wachina pia waliupgrade zao vivyo hivyo. Au hutaki kuskia hayo? Wivu ni ya nini? Usipandwe na presha Buda, utakufa bureee
 
mutaweza wapi nchi imehara tayar budaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ