COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Dar tower mbili atleast hii utahesabu hadi 40bado vijengo vinahesabika.....ovyo tu
Dar tower mbili atleast hii utahesabu hadi 40bado vijengo vinahesabika.....ovyo tu
Wewe hupenda sana kujikoroga, Kisumu International Airport has a runway of 3300 meters while Eldoret is 3475 meters. So what makes them zisiwe International yet ushasema unahitaji 2000mMalindi runway fupi. Unahitaji runway ya zaidi ya 2000m kuwa international
That's a hanger punguza povuuuuu na ushamba. Na sio hanger ya kuanikia nguo hahahaIvi hu uchafu ata rangi hakuna ni wa kusemea kweli , unajua Tanzania uwezi kuta mtu anasifia ujinga kama huu hii inaonesha wa Kenya mletwe uku mshangae kidogo View attachment 527713
HaHaha mtu mwenyewe IT uchwara alaf unajikuta architectureDar is a two government built tower...zingine haziqualify juu ya architectural design mbovu
Dar iko na super highways???...flyovers???...under passes????..interchanges?¿?????? Sgr????? Kwa nini over 100 multinationals ziko Nairobi na zero Dar....ata ulie aje you'll never catch Nai my Friend...Downtown wana KICC na Times Tower, vitower viwili vya miaka ya sabini, halafu ana audacity ya kuja kusema DAR tower mbili,Upper hill wana Tower mbili pia zilizokamilika UAP na KCB, hiyo Britam ni topped out tu , sijui huwa wanahesabu na mashimo ya misingi na macrane? 😀😀😀😀😀
Jiji ambalo bado linatembelea kichwa kila kitu wamewamchia tu mungu, no proper public transport system, kitu basic wanakosa kabisa halafu unadai ni international city, unashindana na DAR Mnaita ni LCD kila siku, Hivi unajishindana na mtu unayemwaita wa chini we huko gorofani kuna wapangaji kweli? (kichwani)😀😀😀😀😛😛😛😛
Ni aibu kwa kweli. kwa arrogance yao, size yao ni SINGAPORE na SEOUL, angalia walipo wenzao sasa hivi na wenyewe. wamebakishwa na DAR 😀😀😀😀 Wanapumulia machine, haha.
Ati modern????? Lol!!!!!! Kama izo in modern meaning ya modern ilichangeHonestly nairobi has got no tower at all,claiming dar has two tower while you have none doesn't make sense!!
Most of Nai is empty plots which makes city looks like town ,not city ,no density!!
Have a look at this
That is upanga daresalam...it's crowded with modern building and has taste of city![]()
HII NI PICHA YA MWAKA GANI.....HATA UKIONA HIO NDEGE INAKAA YA ENZI ZIPI. tumia akiliIvi hu uchafu ata rangi hakuna ni wa kusemea kweli , unajua Tanzania uwezi kuta mtu anasifia ujinga kama huu hii inaonesha wa Kenya mletwe uku mshangae kidogo View attachment 527713
Mbili....acha mafeelings za kidemHujui hata kuhesabu? Hapo ni Mbili au tatu?
Halafu kama dar ni mbili na Nairobi ni sifuri who is stupidest here?
Tanzania's hawataweza ata kuseparate panya.The 1st ever separation of Sarcophagus Conjoined Twins in Africa was carried out at KNH and it was successful. We are also improving on our health care infrastructure.
Ata Beckham alikuja Tz...so UK hakuna jipya..Angelina Jolie ako Kenya....USA hakuna jipyaWanyama yupo Bongo kula bata. Kenya hakuna jipya.View attachment 527512
hahahahhaa uananimaliza msee. Hawa wadhii hakuna vile wao hukuo kujichocha ndo zao.Tanzania's hawataweza ata kuseparate panya.
Ako ka airport katukuwa na kunguni ni hatari kwa abiriaThat's a hanger punguza povuuuuu na ushamba. Na sio hanger ya kuanikia nguo hahaha
Tanzania's hawataweza ata kuseparate panya.