Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jengo ugly ni ugly tu ata uweke disco light, Christmas light , sasa jengo kama hilo sijui britam Babylon antenna ata uweke nn litabaki kuwa half building half antenna
Then keep your ugly opinion to your bloody self mate. You paid to hate!? Jeez!! I'm so done with this kind of mediocrity
 
Tanzania is a shit hole
Acha matusi
Tanzania na Kenya ni ndugu kabisa
Tunachokifanya hapa ni utani tuu kama wafanyavyo watoto wa familia moja.
Sasa unapotoa maneno ya namna hiyo unatukosea sana, si Watanzania tuu bali hata Wakenya wenzio.
Jifunze kufanya utani, kama vp uje uishi Tanzania kwa miezi kadhaa uone jinsi makabila yetu yafanyavyo utani hadi inaleta raha.Mfano wa utani Tz unakuta labda ktk msiba pindi mwili wa marehemu unaposafirishwa kati ya Mzaramo na Mnyamwezi , gari linapotaka kuondoka Wazaramo hulirushia mawe mepesi kwa utani na unaambiwa hiyo inakua ni kuwabariki Wanyamwezi wafikishe mwili huo Tabora kwa usalama. Sasa ninyi masihara ya namna hii hamna nahisi ndo mana mnakua na matusi makali sana kitu ambacho siyo kizuri kwa ndugu wamoja.
Jifunze kustaarabika
 
Watanzania ndio walojazana thread za Kenya, wapotelee mbali ili Kenya tuwe na Muktadha halisi, katu sijawahi pata mkenya kwenye thread za ulongolongo wa Tz.
 
Watanzania ndio walojazana thread za Kenya, wapotelee mbali ili Kenya tuwe na Muktadha halisi, katu sijawahi pata mkenya kwenye thread za ulongolongo wa Tz.
Nyumba yetu wewe nani wakutupangia wapi tusiingie ?
 
i pity the teachers that took their time to educate you. sijui kama ulikuwa unashikanisha dhafu either... the likes of Algebra, Logarithms, Bodmas, mambo ya Log Table, Pythagoras Theorem i wonder kama unanyita
Usijifanye kubadilisha mada huendi kokote uliuliza wapi conference ya Tanzania kama hii tukakuonesha conference center ukakimbia huko ukaja na hoja ya taa, unahangaika kama mtoto mdogo....dar inakuendesha mbio mbio....punguza speed utaugua
 
Nyumba yetu wewe nani wakutupangia wapi tusiingie ?
Tuusan najua maneno haya yamekutia uhayawani na kiwewe. Iweje nyie, kwa wingi na ufuska wenu mlosheheni mje hapa na kubisha kila kitu, get a life you Tanzanians
 
Tuusan najua maneno haya yamekutia uhayawani na kiwewe. Iweje nyie, kwa wingi na ufuska wenu mlosheheni mje hapa na kubisha kila kitu, get a life you Tanzanians
Umebishiwa na mtu mmoja deal nae sio kutusema wote...
 
Back
Top Bottom